mtangazaji wa tbc pendael omary yuko wapi?

Pota

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
2,031
760
wadau uyu chalii alikuwa anatangaza kipindi cha michezo tbc1,nilikuwa napenda sana presentation yake,
 
Labda naye ameenda BBC au DW. Maana wengi wakipotea huku kwetu wanakimbilia huko.
 
Nilimsikia siku moja BBC swahili yeye na Lisajo mwakabuku. Nahisi wako huko.
 
pendael mkuu alipata skendo moja hv enzi za TIDDO MHANDO alimpa promo za kutosha mgombea mmoja wa CDM na ambaye ss hv ni mh,kuanzia hapo nae akakumbwa kwenye mkumbo wa Tido(mwenye kufahamu na afahamu)
 
mdau huyu alikuwa fasta kama nini, kiukweli mimi napenda saaana anavyotangaza,sijaangalia tbc mda sasa jamaa haonekani nini???
 
pendael mkuu alipata skendo moja hv enzi za TIDDO MHANDO alimpa promo za kutosha mgombea mmoja wa CDM na ambaye ss hv ni mh,kuanzia hapo nae akakumbwa kwenye mkumbo wa Tido(mwenye kufahamu na afahamu)

Unazi mwingine wa kipuuzi sana hadi unataka kutudanganya, jamaa alikuwa anatangaza kipindi cha michezo, kwa hiyo unataka kutudanganya huyo mwanasiasa alikuwa anapewa promo kwenye kipindi cha michezo?
 
Mwabepande mkuu ebu nenda kamcheki kama hayupo huko jaribu icu
 
Back
Top Bottom