Mtangazaji wa redio kutoka Tanzania amekamatwa na dawa za kulevya Kenya!

Dah hata sijui kwa nini Gang Chomba umehamaki sana kwa hii thread. Ngoja niwe mtazamaji maana yaonekana hamjakutana barabarani.
 
Dah hata sijui kwa nini Gang Chomba umehamaki sana kwa hii thread. Ngoja niwe mtazamaji maana yaonekana hamjakutana barabarani.


Namfahamu huyo Manzi vizuri sana Obwato.
Na hivi navyoandika huyo Manzi yuko zake Sweeden.
Na ndio maana nimewaomba hawa wapuuzi mwendelezo wa kesi huko Kenya wanakodai amekamatwa unaendaje?
 
naomba kujuwa mwendelezo wa hii ishu...
Je huyu Dada ameshafikishwa mahakamani?
Au ameshafungwa?

Tafadhali mwenye kujuwa...
Au mleta uzi kama una lolote juu ya habari yako hiyo.
 
Mnamo jan.23.2013, mamlaka nchini Kenya zilikamata madawa ya kulevya aina ya heroin yenye uzito wa kilo 5.44.Msemaji wa mamlaka ya mapato nchini Kenya (KRA) Kennedy Onyonyi amesema madawa hayo yalikamatwa yakiwa na mtanzania Saraphia Peter Shirima, Jan. 23 alipokuwa akijaribu kuvusha madawa hayo kupitia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta.

Mamlaka hiyo imesema Saraphia sio mwanafunzi bali ni mtangazaji wa radio nchini Tanzania.Onyonyi alisema mtangazaji huyo ana kibali cha kuishi nchiini Sweden kwa miaka miwili kitakachoisha Nov. 28, 2014.

Madawa hayo yana gharama ya dola za kimarekani 150,000 ambapo mtuhumiwa huyo alikuwa akiyasafirisha kuyapeleka Budapest, Hungary.


Read more: http://www.janbonline.com/products/mtangazaji-wa-radio-wa-tanzania-akamatwa-na-madawa-ya-kulevya-nchini-kenya/


 
hii nchi naibatiza jina la SEMBENYIKA litasaidia katika mchakato wa katiba mpya..
 
Huyu binti alidakwA zamaaani na sasa yuko mtaani kwa hadithi kwamba aliwatoroka polis
 
Back
Top Bottom