Mtangazaji wa redio kutoka Tanzania amekamatwa na dawa za kulevya Kenya!

Hah hah hah hah hah haaaah mkulima huyo hana jipya wacha wamtengeneze

Haijalishi ni mkulima au nini!UTAPELI HAUKUBALIKI na dada huyu kwa tamaa zake sasa yupo mahabusu!Ukiwa tapeli wa vitu vidogo kama hivi baadae utapeda vikubwa zaidi!

UTAPELI HAUKUBALIKI hahahahahaah!
 
Kama alikuibia ulichukua hatua gani?
Au unakuja kulalama tu hapa JF?

Kwa nn huelewi?Siwezi na siji kulalamika kwa kuibiwa na 'sisimizi';ila nimefurahi kwa kukamatwa kwake kwani kumepunguza mtu mmoja uraiani aliyekuwa ANALIANGAMIZA TAIFA!

Saafi sana Kenya!Funga maisha huyu tapeli na wanaopanua midomo yao kumtetea HAWANA HOJA zozote za maana zaidi ya undugu!
 
Raia wa Tanzania ambae ni mtangazaji wa radio nchini hapa Tanzania aitwae Peter Shirima amenaswa na makachero wa uwanja wa ndege wa jijini Nairobi nchini Kenya akiwa na madawa ya kulevya kiasi cha kilo 5.4 aina ya heroin yenye thamani ya fedha za Kenya shiilingi milioni 13.

Kuwa makini na majina ya watu, aliyekamatwa ni:
Saraphia Peter Shirima na siyo Peter Shirima
 
Kwa nn huelewi?Siwezi na siji kulalamika kwa kuibiwa na 'sisimizi';ila nimefurahi kwa kukamatwa kwake kwani kumepunguza mtu mmoja uraiani aliyekuwa ANALIANGAMIZA TAIFA!

Saafi sana Kenya!Funga maisha huyu tapeli na wanaopanua midomo yao kumtetea HAWANA HOJA zozote za maana zaidi ya undugu!

Hao wakenya wako hawana jeuri ya kumkamata Sara! Na Sara humjui kumbe Unakurupuka tuu na Hbr za kusikia.
 
Great Thinker mwingine huyu!

Unajua Abdullah Ocalan alikamatiwa wapi?

Kenya walilikamata gaidi la kimataifa lililo iingiza Turkey kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe na kupelekea mauaji ya watu wasio na hatia zaidi ya 40,000;wakashirikiana na serikali ya Turkey kumrudisha nyumbani na kuhukumiwa kifo!Ndiyo washindwe kumkamata huyu "sisimizi"wenu?

Hili jizi na liuzaji la madawa ya kulevya kwa watoto wetu linastahili adhabu kali hata kama kuna watu humu JF wanamtetea hadi makoromeo yanawauma!Sarah huyu wa Sinza ahahahahaha!
 
Si ndio maana akawa Mtangazaji.....ndo walivyo asilimia 99.5.

Nikikuita mpumbavu utaomba nipigwe BAN?
Au nikuulize unawajuwa watu hawa?
Siwatu Luanda, Salama Mfamao, christina Chikonogela, Eda Sanga, Deborah Mwenda, Aloisia Maneno, Sango Kipozi, Sarah Dumba, Betty Mkwasa, Halima Kihemba, Aloisia Isabula,
Domitila Urassa, Shida Masamba, Rosemerry Mkangara, Nyambona Masamba, Thekla Gumbo, Faudhiat Ismail Abood?

haya pandisha gagulo lako hilo kisha futa mikamasi hiyo uende jukwaa la mapishi.
Sio kila thread unajishaua kuandika ushuzi wako.
 
Great Thinker mwingine huyu!

Unajua Abdullah Ocalan alikamatiwa wapi?

Kenya walilikamata gaidi la kimataifa lililo iingiza Turkey kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe na kupelekea mauaji ya watu wasio na hatia zaidi ya 40,000;wakashirikiana na serikali ya Turkey kumrudisha nyumbani na kuhukumiwa kifo!Ndiyo washindwe kumkamata huyu "sisimizi"wenu?

Hili jizi na liuzaji la madawa ya kulevya kwa watoto wetu linastahili adhabu kali hata kama kuna watu humu JF wanamtetea hadi makoromeo yanawauma!Sarah huyu wa Sinza ahahahahaha!

OK...
Tupe muendelezo wa tukio la Sarafia Peter Shirima.
coz hao wakenya wamekutangazia wamemkamata mjanja wako, je wamempandisha kizimbani?
Ukinijia na jibu la swali hilo ntafuta point zangu zooote nilizoziandika kwenye thread hii.
 
Great Thinker mwingine huyu!

Unajua Abdullah Ocalan alikamatiwa wapi?

Kenya walilikamata gaidi la kimataifa lililo iingiza Turkey kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe na kupelekea mauaji ya watu wasio na hatia zaidi ya 40,000;wakashirikiana na serikali ya Turkey kumrudisha nyumbani na kuhukumiwa kifo!Ndiyo washindwe kumkamata huyu "sisimizi"wenu?

Hili jizi na liuzaji la madawa ya kulevya kwa watoto wetu linastahili adhabu kali hata kama kuna watu humu JF wanamtetea hadi makoromeo yanawauma!Sarah huyu wa Sinza ahahahahaha!

We tumekuuliza Laptop Ulitoa wapi Ujajibu hadi
saizi....... Eti nilikuja na Laptop na simu! Kilaptop
kibovu na Kisim chako cha Kichina. Eti IPhone
ukajua utakuja kuwapiga wabongo......
Umepigwa wewe sasa.
 
Ndo maana Unaambiwa Unakurupuka Huna hata
unalojua Sara we humjui....... Sara yupo town
Waliomkamata Kenya wanamjua wao! Futa povu
hilo Usikurupuke
 
Hah hah hah haaaah huyo jamaa ni mkulima, na ndio maana katengenezwa...
 
Ndo maana Unaambiwa Unakurupuka Huna hata
unalojua Sara we humjui....... Sara yupo town
Waliomkamata Kenya wanamjua wao! Futa povu
hilo Usikurupuke

Na ndio maana nikamwambia anijie na data za mwendelezo wa kesi.
Je Sara kapandishwa mahakamani?
Matokeo yake kaenda jipara awahi kitchen party...
 
We tumekuuliza Laptop Ulitoa wapi Ujajibu hadi
saizi....... Eti nilikuja na Laptop na simu! Kilaptop
kibovu na Kisim chako cha Kichina. Eti IPhone
ukajua utakuja kuwapiga wabongo......
Umepigwa wewe sasa.

Putin, Kwani we unatetea ninii hasaaa! mbona sikuelewi?!
 
Last edited by a moderator:

ishu ni kuwa kuna wakurupukaji humu wamemuita Sara mwizi.
Then wakaulizwa huyo Sara kaiba nini?
Wakadai eti kakamatwa akiwa na madawa ya kulevya.
Ndio tunahoji je mtu akikamatwa na madawa ya kulevya ni mwizi?
 
Utasema kumtetea hadi upumulie matundu yote 3 uliyopewa na Mungu;lkn huyu dada ni mwizi na hafai kwenye jamii!Kuuza madawa ya kulevya kwa watoto wetu ni zaidi ya ugaidi!Huyu anatapeli hata vi laptops tu!Jizi kubwa hili!
 
Na ndio maana nikamwambia anijie na data za mwendelezo wa kesi.
Je Sara kapandishwa mahakamani?
Matokeo yake kaenda jipara awahi kitchen party...

Kwa vile Kenya wameenda hadi kwenye vyombo vya habari kuripoti ukamatwaji na madawa wa huyu jizi;KAMA INAKUUMA SANA NA WW ITA WAANDISHI WA HABARI KUKANUSHA HABARI HII!Otherwise unless itabaki kama ilivyo kama hili dada limekamatwa!Kama kafikishwa mahakamani au laa mm hainihusu!

Jizi kubwa hilo!
 
Back
Top Bottom