Mtangazaji wa redio kutoka Tanzania amekamatwa na dawa za kulevya Kenya!

mtake radhi,wewe ndo umekosea kaka umeitafsiri methali kama ilivyo!wahenga walimaanisha kila jambo baya lina mwisho wake au kila mtenda maovu kwa kificho kuna siku ataumbuka.Umekurupuka bro.

Wahenga wangekuwa na maana hiyo wangeweka wazi.
Wahenga si watu wa kufichaficha.

Period
 
Asante mkuu kwa kunisaidia kwa hilo huyo Gang Chomba kweli ni mbulula halafu nimeamini humu jamvini kuna watu ambao ni Uneducated kabisa sasa yeye alitaka niandike nini? ningekuwa Mod ningeku delete

Wewe ushuzi kweli...
Umekurupuka na kuandika za mwizi 40...sasa nakuuliza huyo binti kaiba nini?
tuliza kiuno chini utafute msemo unaoendana na uhalisia wa tukio.
 
Inaonekana una mfahamu na mlikuwa wote acha ushamba mkuu halafu nimeona comments zako nyingi lazima wanajamvi wakuponde kwa kuandika utumbo jirekebishe! kama huyo bint ni ndugu yako mwambie amekula foma na atajamba povu

Funga bakuli lako...
Huna lolote unalojuwa, matokeo yake unaomba huruma kwa watu eti ooh wanajamvi lazima wakuponde kwa kuandika utumbo...
Nenda Facebook ndiko kuna wakurupukaji wenzio
 
Wewe ushuzi kweli...
Umekurupuka na kuandika za mwizi 40...sasa nakuuliza huyo binti kaiba nini?
tuliza kiuno chini utafute msemo unaoendana na uhalisia wa tukio.

Nina kila sababu ya kuamini kuwa huyu Gang Chomba ni mtu anayehusika sana na hii biashara ya mihadarati kwa jinsi anavyomtetea huyu binti/mwanamke aliyekamatwa na heroin huko Nairobi!! " Za mwizi arobaini" maana yake ni kwamba mwizi kama mbeba madawa ya kulevya, wote wanafanya vitendo vibaya kwa jamii hivyo 'Za mwizi 40" also applies to these MULES!!
 
mwananchi inaeleza kuwa aliwahi kufanya kama mwanafuzi redio clouds katika leo tena......
 
Ama kweli mtangazaji wa radio anaamua kufanya madudu kama haya?
Mtangazaji yoyote kwanza ni binadamu ndio kisha ni mtangazaji. As binadamu she can do anything a man can do!. Tumeshawasikia mpaka marais wanafanya biashara hii itakuwa mtangazaji?!.
P.
 
Nope those that gets to the public domain are not dealt that easily. Labda kuna kashfa zinazogunduliwa na kutatuliwa kichinichini lakini ikishafikia vyombo vya habari sioni rushwa ikiwasaidia.

hivi yule mtoto wa kigogo wa BOT alokamatwa LINDI YUPO JELA GANI?MTOTO WA LIYUMBA?
USICHEZE NA PESA MDAU
 
Nina kila sababu ya kuamini kuwa huyu Gang Chomba ni mtu anayehusika sana na hii biashara ya mihadarati kwa jinsi anavyomtetea huyu binti/mwanamke aliyekamatwa na heroin huko Nairobi!! " Za mwizi arobaini" maana yake ni kwamba mwizi kama mbeba madawa ya kulevya, wote wanafanya vitendo vibaya kwa jamii hivyo 'Za mwizi 40" also applies to these MULES!!

Futa mipovu hiyo kisha pandisha gagulo hilo...
Acha kukurupuka kuandika matapishi.
mimi sijamtetea huyo binti na sina mpango wa kudeal na Unga, mie nimemshushua huyo mshambenga mwenzio aliyeandika za mwizi 40.
Huyo Binti sio mwizi.
Na itabakia kuwa sio mwizi hata mtoke mipovu vipi.
 
Funga bakuli lako...
Huna lolote unalojuwa, matokeo yake unaomba huruma kwa watu eti ooh wanajamvi lazima wakuponde kwa kuandika utumbo...
Nenda Facebook ndiko kuna wakurupukaji wenzio

Heee ! Nyie waimba taarabu m'metokea wapi ?
 
Sarah Shirima NI TAPELI NAMBA MOJA!Nilikuwa nawasiliana nae kibiashara enzi hizo nipo USA baada ya kukutana nae Jambo chat!Akaniambia Dar laptops na simu blackberry "ZINATOKA SANA"!Hiyo ilikuwa mwaka 2006!

Nikazileta za kutosha tu nikamkabidhi kwa makubalino kuwa nikirudi Dar toka mapumzikoni KYELA nizikute hela TUGAWANE FAIDA;Hadi leo sijamuona tena na ndiyo nasoma habari hii hapa!

Alikuwa"kanjanja" tu wa utangazaji kwa kuuza habari magazetini!Ni binti mrembo wala huwezi amini kama ni tapeli!ANA TAMAA SANA YA MAISHA MAKUBWA BINTI HUYU!
 
TZ kuliko hata Nigeria. .. pesa chafu za madawa ya kulevya, human trafficking, pembe za ndovu na nyara mbalimbali, viungo vya binadamu, nk.
 
Sarah Shirima NI TAPELI NAMBA MOJA!Nilikuwa nawasiliana nae kibiashara enzi hizo nipo USA baada ya kukutana nae Jambo chat!Akaniambia Dar laptops na simu blackberry "ZINATOKA SANA"!Hiyo ilikuwa mwaka 2006!

Nikazileta za kutosha tu nikamkabidhi kwa makubalino kuwa nikirudi Dar toka mapumzikoni KYELA nizikute hela TUGAWANE FAIDA;Hadi leo sijamuona tena na ndiyo nasoma habari hii hapa!

Alikuwa"kanjanja" tu wa utangazaji kwa kuuza habari magazetini!Ni binti mrembo wala huwezi amini kama ni tapeli!ANA TAMAA SANA YA MAISHA MAKUBWA BINTI HUYU!

Huna lolote, unatafuta huruma za wana JF...
siku zote ulikuwa wapi kusema?

Watu kama wewe Tuco aliwaita Hugo de Una Grand Putta
 
Ulitaka nimuambie nani?Ulitaka nianzishe mada hapa kumjadili huyu "sisimizi" na utapeli wake?Habari ya kuibiwa kwangu na dada huyu tapeli anayo aliyekuwa mkurugenzi wa Jambo chat ambaye pia ndiye kiongozi hapa JF!

Huyu dada ni tapeli na ana tamaa sana na itabaki hivyo na yaliyomkuta ni zao la tamaa zake kuacha kufanya kazi halali kujiingiza kwenye kipato cha haraka!

Lugha hiyo uliyoongea mm naijua vyema na kuwa muungwana tafadhali!
 
Hadi sasa haujuliani ni redio ipi alikuwa akiitumikia ? ni kwa nini media za taz hazikuipa kipaumbele hbari hii
 
Mules... watake ladhi wanajanvi kuwaita hivyo........ yaani mama FARASI BABA PUNDA Lol
 
Nina kila sababu ya kuamini kuwa huyu Gang Chomba ni mtu anayehusika sana na hii biashara ya mihadarati kwa jinsi anavyomtetea huyu binti/mwanamke aliyekamatwa na heroin huko Nairobi!! " Za mwizi arobaini" maana yake ni kwamba mwizi kama mbeba madawa ya kulevya, wote wanafanya vitendo vibaya kwa jamii hivyo 'Za mwizi 40" also applies to these MULES!!

Tutake ladhi kutuita mules ndimani
 
Sarah Shirima NI TAPELI NAMBA MOJA!Nilikuwa nawasiliana nae kibiashara enzi hizo nipo USA baada ya kukutana nae Jambo chat!Akaniambia Dar laptops na simu blackberry "ZINATOKA SANA"!Hiyo ilikuwa mwaka 2006!

Nikazileta za kutosha tu nikamkabidhi kwa makubalino kuwa nikirudi Dar toka mapumzikoni KYELA nizikute hela TUGAWANE FAIDA;Hadi leo sijamuona tena na ndiyo nasoma habari hii hapa!

Alikuwa"kanjanja" tu wa utangazaji kwa kuuza habari magazetini!Ni binti mrembo wala huwezi amini kama ni tapeli!ANA TAMAA SANA YA MAISHA MAKUBWA BINTI HUYU!

Tupe Ushahidi....
 
Back
Top Bottom