Mtangazaji wa radio au TV

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
Habr za mapumziko wadau, hv ni mtangazaji gani wa radio au TV unamkubali (unamu-admire) na ni kwanini?
 
Tv:
Sam Misago(fnl),Allen(skonga),Ben kinyaiya n' Maimartha.

Radio: DEE7,Mchomvu,Gerald Hando.
 
Nawakubali kwa namna tofauti i.e confidence,creativity,sauti,muonekano(kwa wale wa tv),n.k
 
Namkubali Maimatha wa jese, Salama Jabir kwenye vipindi vya burudan, vipind sirias namkubali mtu mzima Masako
 
Radio Milad Ayo~anajua anachofanya afu hapendi kuiga
Tv Samadu Hassan yuko star tv....anajua kuzichambua habari za kimataifa afu anasauti ya kitofauti
 
Radio(Bbc)> Sir Terry Wogan-Classy

Tv(Bet)>Rocksy Diaz-Super sexy!
 
J hando, D rweyunga,shafii dauda,ibraim masud. Babra hassan. Pj, hawa wapo bryt.
 
Radio Milad Ayo~anajua anachofanya afu hapendi kuiga
Tv Samadu Hassan yuko star tv....anajua kuzichambua habari za kimataifa afu anasauti ya kitofauti

me zile methali zake "kukunjika kwa jamvi co mwisho wa maongezi"
 
halafu tukishajibu hilo swali unatupa maksi au? watu wengine bwana shule mitihani basi hata humu unakutana na mitihani?
 
wengi wanaigana kuongea so its hard kuchagua genuine favourite kwa sababu anavyoongea huyu ndio sawa anavyoongea yule, mi si wa fani iyo lakini labda wahusika watatufafanulia ili kua mtangazaji ni lazima utumie ile ACCENT? they speak the same way au ndio chuo wanavyofundishwa? watangazaji wa vipindi vya bongo fleva wote wanafanana wanavyoongea, watangazaji wa taarabu wote wanafanana wanavyoongea kama hajataja jina unaweza dhani ni yule yule kila siku kila redio!
 
kuna wengne w
 
Arnold Kayanda coz anajua kumanage mda,huaming na kujiamina na anachokisema. Gardner g Habash japokuwa ameacha lkn ni mkali ile mbaya sauti yake,ubunifu wa high level,na huenjoy being a presenter.Gerald Hando
 
wengi wanaigana kuongea so its hard kuchagua genuine favourite kwa sababu anavyoongea huyu ndio sawa anavyoongea yule, mi si wa fani iyo lakini labda wahusika watatufafanulia ili kua mtangazaji ni lazima utumie ile ACCENT? they speak the same way au ndio chuo wanavyofundishwa? watangazaji wa vipindi vya bongo fleva wote wanafanana wanavyoongea, watangazaji wa taarabu wote wanafanana wanavyoongea kama hajataja jina unaweza dhani ni yule yule kila siku kila redio!

acha porojo mingi,taja unayemkubali.kama hakuna kausha
 
Back
Top Bottom