Mtangazaji wa clouds afanywa kitu mbaya mkwajuni!!!

nazani sasa tunamhitaji kulwa kikumbwa (dude) ambaye amekuwa akifundisha njia mbalimbali za kuwaibia watu (namna watu wanavyoweza kuibiwa) nazani sasa ni muda muafaka kuanza kufundisha namna ya kukabiliana na wezi,vibaka na majambazi.
 
Hapo we kimbia, ukianguka unasimama, we kimbia!!
Ukiwaona wanakuja we kimbia, lasivyo watoto hawatapishana chooni.
 
Nchi imeoza! kila kiumbe anafanya analotaka! hakuna vyombo vya dola tena vinanuka rushwa, majambazi wanafunga mtaa saa tatu asubuhi wakati wa kunwya chai, then wanahamaia mwingine saa saba mchana wakati wa lunch and guess what!?? jioni wanarudi teNa mtaa huohuo kuchukua vyao tena kwa wapiga ulabu! Ok! wait a minute MAISHA BILA AU BORA KWA KILA MDANGANYIKAAAA! Noooo! nilisahau wavamia viwanja, siku hizi tena hata wenye power aka walio ktk system sasa mameamua kupora sio viwanja, hata nyumba ambazo binadamu wenzao wanaishi!
 
Jamaa mwingine alivalishwa kiroba halafu wanachofanya wanaondoka na suruali wanakuacha mtupu
 
Kweli maisha bora kwa kila mtanzania..na kila siku hawa vijana wanakuja na
njia mpya ya kuwezesha kuokoa maisha yao na familia.....
majuzi asbh kuna mtangazaji mmoja akawa anaelezea watanzania tuwe makini muda wa saa mbili
kwenda tatu/...akasema kinondoni akufai kabisa kumeibuka njia mpya ukifika kituoni ukiona watu wanakuja wamebeba ndoo mbili ogopa sana sana...,akasema kuna jamaa yake alikuwa amekaa anasubiri gari gafla akasimama alipoona linakuja akakuta limejaaa
Baada ya muda wakaja jamaa wawili na mama mmoja wamebeba ndoo jamaa akajua wenzake
akiwa amesimaama jamaa wakamtunuku kichwani zile ndoo mbili yaani kumfunika kama MALECELA anapowatunuku wana OPEN..jama iliwachukua dk 2-5 kumaliza shuguli maalum iliowapeleka pale kituoni na kurudi na zana zao ndoo kama walivyokuja huku walipomaliza wakamkata jaamaa ngwara akiwa na ndoo na kuichomoa wakaondoka...jana nikiwa pale mikochen kuna bar moja nilipak kula nikaona vijna wa killaaaaaudsss wakijimwaya pemben wakaanza kutaniana kwanza shukuru mungu awakukunanii wale jamaa washenzi sana sana noma..jamaa akaanza kujibu e acha tu nilibaki nimesimama kama niko kwenye lift maana ile ndoo ilinifunika mikono yote...nilicheka sana sana nikakumbuka kisa cha asbh

Kwanza nakupa pole mh mtanagzaji hiyzo zote ni moja ya maisha bora kwa kila mtanzania ....na wewe tafuta mbinu ya kutoka

SORRY, BUT I WISH KIBONDE WAS A VICTIM . Mungu anisamehe kwa kweli!
 
Naona watanzania wanazidi kuwa wabunifu kila kukicha. Hii yote alaumiwe Kikwete na mafisadi wenzie.
 
Back
Top Bottom