Mtangazaji wa clouds afanywa kitu mbaya mkwajuni!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,050
Kweli maisha bora kwa kila mtanzania..na kila siku hawa vijana wanakuja na
njia mpya ya kuwezesha kuokoa maisha yao na familia.....
majuzi asbh kuna mtangazaji mmoja akawa anaelezea watanzania tuwe makini muda wa saa mbili
kwenda tatu/...akasema kinondoni akufai kabisa kumeibuka njia mpya ukifika kituoni ukiona watu wanakuja wamebeba ndoo mbili ogopa sana sana...,akasema kuna jamaa yake alikuwa amekaa anasubiri gari gafla akasimama alipoona linakuja akakuta limejaaa
Baada ya muda wakaja jamaa wawili na mama mmoja wamebeba ndoo jamaa akajua wenzake
akiwa amesimaama jamaa wakamtunuku kichwani zile ndoo mbili yaani kumfunika kama MALECELA anapowatunuku wana OPEN..jama iliwachukua dk 2-5 kumaliza shuguli maalum iliowapeleka pale kituoni na kurudi na zana zao ndoo kama walivyokuja huku walipomaliza wakamkata jaamaa ngwara akiwa na ndoo na kuichomoa wakaondoka...jana nikiwa pale mikochen kuna bar moja nilipak kula nikaona vijna wa killaaaaaudsss wakijimwaya pemben wakaanza kutaniana kwanza shukuru mungu awakukunanii wale jamaa washenzi sana sana noma..jamaa akaanza kujibu e acha tu nilibaki nimesimama kama niko kwenye lift maana ile ndoo ilinifunika mikono yote...nilicheka sana sana nikakumbuka kisa cha asbh

Kwanza nakupa pole mh mtanagzaji hiyzo zote ni moja ya maisha bora kwa kila mtanzania ....na wewe tafuta mbinu ya kutoka
 
Mageuzi hapo amna umakini ni kuwa mpole na kushikilia zipu basi omba isikukue nilicheka sana maana n mwaka juzi tu kakanga pale magomen alifunikwa na ndoo akiwa kasimama na binti na mwanaume nyuma yake wakamuwasha hela za mauzo ya nyama ya wiki nzimashwaaa...ni hatari tupu..
Wakianza kushika zipu hat kama ni kisu wacha wakupige usikubali wakuvue bila kuona weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

hatarii kubwaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Pale Jangwani wanasyle kama hiyo wanabeba jiwe begani wamevilingisha kwenye kiloba ukipishana nao umekwisha unajikuta upo Kibasira
 
hahaha niliisikia LIVE hiyo jamaa akitahadharisha akasema si roba ya mbao tena kuna roba na NDOO, kweli vibaka wabunifu
 
Ndoo kubwa au ndogo? Au wanaangalia ukibonge wa mtu?

Na kweli kama inakufunika mpaka mabegani nadhani wakikulia timing wanaangalia waje na ndoo kubwa au ndogo wakuvae nayo kweli maisha ni magum kwa wananchi wanawaza watokeje kesho na huku viongozi wetu wanawaza jinsi ya kesho yake waibaje na kujilimbikizia mi mali mmh!
 
Poleni huko Dar, mkifika kituoni nyoshen mikono juu mmshikilia cm zenu na wallet pia, hawataweza kuwavalisha tena ndoo, labda waje na mapipa sasa. Try ths, its not a joke. all the best
 
Poleni huko Dar, mkifika kituoni nyoshen mikono juu mmshikilia cm zenu na wallet pia, hawataweza kuwavalisha tena ndoo, labda waje na mapipa sasa. Try ths, its not a joke. all the best

hahha hii nimeipenda...
 
kama imefikia wakati ukiona watu wamebeba ndoo unatoka mbio,basi ishakuwa balaa hahahahhahahahahaah..huu ni u-mento!
 
yote yanasababishwa na ugumu wa maisha ambayo yamesababishwa na kiktwete
...Mh!!! una uhakika?? walianza na nondo, wakaja na kabali za mbao kama unakumbuka enzi za kiboko msheli na black mamba kuanzi magomeni, manzese, tandika na tandale sijui huko nako alisababisha kikwete au ndio mambo ya ukasuku unadaka hata visivyotakiwa kudaka???:yuck::yuck:
 
Poleni huko Dar, mkifika kituoni nyoshen mikono juu mmshikilia cm zenu na wallet pia, hawataweza kuwavalisha tena ndoo, labda waje na mapipa sasa. Try ths, its not a joke. all the best

mkuu umenichekesha cana mbali yakucheka nahic we ni mmoja wao mana tukisha display mnachukuakiulaini
 
Back
Top Bottom