Mtangazaji Dambaya TV mlimani, ana matatizo ya kuunda maswali

Mantissa

JF-Expert Member
Jul 24, 2010
876
166
Tv ya wanazuoni,jamani imeboa kumpeleka mtangazaji Hamis damumbaya ambaye anaonekana kuaibisha taaluma yake kabisa, hana lolote.
 
Tv ya wanazuoni,jamani imeboa kumpeleka mtangazaji Hamis damumbaya ambaye anaonekana kuaibisha taaluma yake kabisa, hana lolote.

mbona wote wameboa tu, au unachuki binafsi na huyu bwana?
 
hamisi dambaya ni bogas yani hata kingereza hajui halafu ana tabia za kiswahili yani kuimabaimba taarab yani kwa kweli sis wanachuo tunamjua vizuri sana ni aibu tupu sijui nani kampeleka
 
hamisi dambaya ni bogas yani hata kingereza hajui halafu ana tabia za kiswahili yani kuimabaimba taarab yani kwa kweli sis wanachuo tunamjua vizuri sana ni aibu tupu sijui nani kampeleka

Mtende, kujua Kiingereza siyo uhakikisho wa kuwa na busara wala akili, hapo kwenye tabia za Kiswahili ndiyo umenigusa, mara nyingi watu wenye tabia za Kiswahili swahili hata wasomeje madarasa na madarasa huwa ni punguani kwa baadhi ya mambo, na huyuo bwana ashajamba, avumilie tu ushuzi wake uishe harufu aendelee na safari...kapata ngekewa kuingia huko kwa kuvutwa shati!
 
Huyu Jamaa Naye Unafki Wa Kuiponda Rasmi Umemlipa Hadi Kuwa DED Nanyumbu
 
Back
Top Bottom