Mtandao wa tritel kwenye modem

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
hey guys nnatumia join air nikisearch network kuna mtandao unaitwa tritel hivi huu ni mtandao wa wapi lkn zaman nikiweka lain ya voda huu mtandao ulikua unapiga mzigo with roaming activated lakin kwa saivi unakataa hv huu mtandao ni upi
 
Ni zantel network yao ya cdma kwa ajili ya modem zao
 
wakuu naomba msaada nilipounstall dashboard ya vodafone K3570z na kuweka join air kompyuta yangu imeshindwa kusoma modem nifanyeje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom