Mtandao wa simu wenye internet ya kazi zaid hii hapa

jay311

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
2,932
2,711
Ifuatayo ni latest chati ya mitandao ya simu kuanzia yenye internet ya kasi zaidi mpka ile yenye slower connection mapaka WCDMA( excluding 4G)

Nilifanya karesearch kadogo tu na kwa kuwa nilikuwa na laini zote za Voda,tigo,airtel,halotel na zantel,,,ukiachana na mitandao / mashirika ya smart ...Sasatel na .....smile na mengineyo ambazo bado hazijasambaa saaa kama zile 5 tajwa hapo juu.

1) Halotel

2)Vodacom

3)Airtel

4)zantel

.
.
.
.
.
.
.
(N) Tigo

pia unaweza test internet speed hapo ulipo / kwa laini na kifaa unachokitumia kwa hii website ya wazungu Speedtest.net by Ookla - The Global Broadband Speed Test ....

asanteni,The last the mentioned,the slower the internet connection.
 
Mkuu hiyo research yako umeifanya mikoa mingapi???mitandao ya bongo nadhani unajua kuna sehemu nyingi tu 3G hamna au ipo weak..kwaiyo location pia ni factor

Ukipingwa na wachangiaji humu usishangae kwasababu kila mmoja ataongea kwa izoefu waizoefu wa eneo alilopo

But Haloel wapo vizuri
 
Mikoa mingapi uliufanya Huu utafiti wako??? Jibu hili kwanza tafadhali... ndio tuendelee kukupa maelezo
 
mtandao wa kwanza hauna 4g, wa pili hauna 4g, wa tatu hauna 4g, wanne hauna 4g ni list isio na maana napost screenshot za 4g zilizowahi letwa humu jukwaani halafu naomba na wewe au mwengine yoyote apost speed za hio mitandao mengine

1. TTCL
screenshot_2016-01-13-20-28-46-png.316655

2.smile na tigo
Screenshot_402.png

3. Tigo
X5hBu5.png

m4WzVJ.png

kwa 3g ukipata 16mbps ni sherehe ila 4g 20mbps ni kitu cha kawaida tena unaona ni slow, na hii ndio kwanza ni 4g inaanza siku zikizidi kwenda mbele wanaimprove na technology hivyo speed inaongezeka
 
japo tigo wananipa 5gb usiku bora zaidi namaliza zote 7bu speed ya 4g ya tigo hatari tupu kuliko hao Halotel michosho tu na hzo gb18 zao nilijiungaga mara 2 tu
kwa mm wa usiku mzee wa kushusha seriez tigo bora zaidi aisee
 
Mkuu hiyo research yako umeifanya mikoa mingapi???mitandao ya bongo nadhani unajua kuna sehemu nyingi tu 3G hamna au ipo weak..kwaiyo location pia ni factor

Ukipingwa na wachangiaji humu usishangae kwasababu kila mmoja ataongea kwa izoefu waizoefu wa eneo alilopo

But Haloel wapo vizuri

infact nilikuwa dar nikaona hali halisi ya network connections,nikaenda arusha desemba pia halini ile ile ndio nikarudi mjini kuendelea na mishe zangu,,ila kiukweli bisha usibishe hiyo list hapo juu inaapply karibu mikoa mikubwa yote tz
 
mtandao wa kwanza hauna 4g, wa pili hauna 4g, wa tatu hauna 4g, wanne hauna 4g ni list isio na maana napost screenshot za 4g zilizowahi letwa humu jukwaani halafu naomba na wewe au mwengine yoyote apost speed za hio mitandao mengine

1. TTCL
screenshot_2016-01-13-20-28-46-png.316655

2.smile na tigo
Screenshot_402.png

3. Tigo

kwa 3g ukipata 16mbps ni sherehe ila 4g 20mbps ni kitu cha kawaida tena unaona ni slow, na hii ndio kwanza ni 4g inaanza siku zikizidi kwenda mbele wanaimprove na technology hivyo speed inaongezeka

kaka niliondoa 4G kwenye mchanganuo na pia,niliondoa sasatel,smart,smile na TTCL kwenye listing hapo juu....
 
sasa utaondoaje 4g wakati ndio yenye speed zaidi?

na mimi nikitoa 3g nikapambanisha 2g then nikasema mtandao x ndio una speed zaidi itakuwa fair?
 
nimeangalia kitu kimoja,,kwamba idadi kubwa ya watumiaji wana device zinazosupport 3g na viunga vyake H,H+ ///WCDMA. sasa 4g si tigo tu? na 4g yao ni low speed hata network bar ikiwa imejaa,,, so nimeconsider network band ambayo ni common kwa watu wengi
 
nimetaja mitandao mingi tu hapo juu ya 4g na sio mmoja

1. TTCL
2.Tigo
3. Smart
4. Smile

na umetumia 4g ipi ya tigo iliyo slow? mikoa yote ninayoenda ikishuka kwangu ni 20mbps na screenshot zilizowekwa humu na watu tofauti tofauti nimezieka.

pia simu za 4g sasa hivi zimeshakuwa mainstream almost simu mpya yoyote utakayonunua ya 2016 itakuwa na 4g. processor (soc) za bei rahisi sasa hivi pia zina 4g hadi manufacture wa chip za bei rahisi kama mediatek wanasuport 4g sasa hivi.
 
tatizo sio 4g,,,hebu uliza watu wanaotumia tigo wakuambie internet ipoje,ukiachana na 4g ya tigo,,,4g weka pembeni angalia majority wna nn
 
why nieke pembeni 4g? yani ni kama unamwambia mwanariadha mrefu kimbia na magoti wewe mrefu sana. kama mada yako inavyosema mtandao wenye speed then tunatakiwa tuangalie speed na sio kubagua vigezo ili kupendelea mtandao fulani.

kwenye mada yako umeiweka tigo ya mwisho na sasa hivi kila comment unaongelea tigo, nimetaja mitandao minne yenye 4g ambayo naamini ina speed zaidi ya 3g na kati ya hio minne ukimtoa smart iliobakia una uhakika wa kupata 20 hadi 40mbps ambayo ni speed kubwa sana kulinganisha na ya 3g.
 
mitandao mingine wakipata 4g tigo ataachwa mbali sana na hiyo 20-40 MBps zao...
 
Ifuatayo ni latest chati ya mitandao ya simu kuanzia yenye internet ya kasi zaidi mpka ile yenye slower connection mapaka WCDMA( excluding 4G)

Nilifanya karesearch kadogo tu na kwa kuwa nilikuwa na laini zote za Voda,tigo,airtel,halotel na zantel,,,ukiachana na mitandao / mashirika ya smart ...Sasatel na .....smile na mengineyo ambazo bado hazijasambaa saaa kama zile 5 tajwa hapo juu.

1) Halotel

2)Vodacom

3)Airtel

4)zantel

.
.
.
.
.
.
.
(N) Tigo

pia unaweza test internet speed hapo ulipo / kwa laini na kifaa unachokitumia kwa hii website ya wazungu Speedtest.net by Ookla - The Global Broadband Speed Test ....

asanteni,The last the mentioned,the slower the internet connection.
Inategemeana huo utafiti wako umeufanyia wapi,unategemea nini ukiwa unafanya utafiti kwa mtandao ambao hauna watu wengi?,speed ya DCM iliyobeba watu 35 itakuwa sawa na DCM hiyo hiyo iliyobeba watu 70?
 
Back
Top Bottom