G M S
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 502
- 53
Wadau naomba msaada khs internet ya mtandao upi itanifanyia fair coz kudownload ni sehem kubwa ya matumizi yangu ya internet na hata kama si hvyo bado matumiz yangu ni ya mfululizo NIMEJARIBU VODA wananiua sana mb 150 kwa elfu tatu inawahi kuisha NIMEJARIBU ZAIN/AIRTEL wanafair coz 400mb kwa 2500 BUT network imekuwa tatizo wanataka niwe karibu na Mnara PIA imekuwa kikwazo kwangu nimeshidwa naomba kujua khs mitandao mingine kati ya ZANTEL na TIGO vipi khs bundle zao jamani naomba msaada wa maelezo!