Mtandao upi ni bora kuutumia ukiwa na blackberry

KyelaBoy

JF-Expert Member
Nov 9, 2008
206
22
Ndugu zangu ,
Nauliza ni mtandao upi unafaa kujiunga nao kwa mtu mwenye simu ya Blackberry hapa bongo,
Nitawashukuru mkileta maoni na uzoefu wenu kwa mnaotumia blackberry hapa bongo
 
Ndugu Kyelaboy,
mitandao mizuri ipo kama miwili hivi,Vodacom na Zain, Zain charge zao kwa mwezi ni tsh 36,000/=. Vodacom nao bei zao sina huakika nazo ila hapo hawali walikuwa wanacharge zaidi ya tsh36,000/=.mimi kabla ya kuibiwa BB yangu nilikuwa natumia mtandao wa Zain.Nakushauri ujiunge na Zain.
 
Bei ya Blackberry ni kiasi gani?
mi nakumbuka ile chupa ya maji ya zabibu(juice) ni BLACK KARANTI sio black beri...! inauzwa elfu moja mia tano...!
ni nzuri sana kwa kuongeza DAMU!
Watoto huipenda sana haa iki-dailutiwa na maji ya kutosha...1
Ukiwa na blak karant unatumia mtandao wowote na unafanya kazi mswano tu...!
 
mi nakumbuka ile chupa ya maji ya zabibu(juice) ni BLACK KARANTI sio black beri...! inauzwa elfu moja mia tano...!
ni nzuri sana kwa kuongeza DAMU!
Watoto huipenda sana haa iki-dailutiwa na maji ya kutosha...1
Ukiwa na blak karant unatumia mtandao wowote na unafanya kazi mswano tu...!

ha!ha!ha! ahsante mkuu.
 
Mtandao wa voda ndio makini sana kwa BB....mimi natumia mwaka sasa hata hii post imetoka kwa BB yangu curve
 
Skills4Ever,kila mtu anaona mtandao anaoutumia ni bora kuliko mwingine,Zain ni nzuri zaidi me mwenyewe ndio natumia mtandao huo.
 
Kwa watumiaji wa blackberry, napenda kujua hizo simu zina functions zipi ambazo zinazifanya kuwa na sifa na kuuzwa kwa kiasi hicho?
 
Bei ya Blackberry ni kiasi gani?
http://www.vodacom.co.tz/images/BBPearl.jpg
BlackBerry Pearl 8110 Smartphone*
The BlackBerry® Pearl™ 8100 smartphone is one of the world's smallest smartphones and packs all of the power you expect from a BlackBerry® smartphone. It comes complete with digital camera, multimedia capabilities and expandable memory. And it offers users everything else you would expect from a BlackBerry smartphone-including phone, email, web browser, text messaging (SMS and MMS), instant messaging, organizer applications and more.
The BlackBerry Pearl smartphone is small enough to take anywhere. It's the ultimate combination of brains and beauty.
Price: Tsh 699,000.

nenda office za vodacoma utazipata kwa bei hiyo hapo.
 
Skills4Ever,kila mtu anaona mtandao anaoutumia ni bora kuliko mwingine,Zain ni nzuri zaidi me mwenyewe ndio natumia mtandao huo.

Tuangalie vigezo vya kuchagua mtandao:
1. Affordable (not cheap) = gharama yake ni nzuri lakini si kupunguza gharama kwa sababu ya huduma mbovu
2. Network Availability = muda wote ukitafuta mawasiliano unayapata
3. Quality of service = hapa utaongelea download speed, uwezo wa kubaki kwenye simu ukiwa unaongea, bila kukatika, minara kukabidhiana mawasiliano bila kukatika (handover), kupiga simu bila kuikosa au kutafutwa ukapatikana, etc etc
4. Coverage = jinsi gani wametandaa kwenye eneo husika (hapa tunaongelea Tanzania Nzima ...

Ukiangalia vigezo hivi, Zain Waku JUUUUUUUUUU!
 
Back
Top Bottom