Mtandao unaongoza kwa gharama nafuu za internet.

Tekenya

Member
May 24, 2011
67
9
Aksanten wanajamii forum, mpaka sasa kuna mambo mengi ambayo nimefaidika nayo kupitia forum hii ya science and technology.
Wakuu mim nina moderm ya airtel huauwei, nimekua nikifuatilia moja ya thread ya ku-unlock huauwei moderm bahati mbaya sikufanikiwa kutumiwa code. naombeni ushauri maana nahisi wengi wanaulock ili waweze kutumia airtel, naomben kujua kama kuna mtandao mzuri wa gharama nafuu niweze kufuatilia kwa that ili na mm nifaidi internet kwa gharama nafuu zaidi kutokana na ukali wa maisha hv sasa ukizingatia kila kitu gharama juu. (kat ya tigi, voda, zantel,etc)
 
Tupa hiyo,nunua ya Voda elfu 25 tu ulambe net mitandao yote kwa kuunga na JoinAir!
 
Back
Top Bottom