Mtambuzi

Kijino hivi kuna mahusiano hapo....hamishia kule chit chat ndiko tutajadiliana ya huyu mheshimiwa.............
 
Last edited by a moderator:
mtambuzi yuko huku chit chat siku hizi jana kanipiga dongo kubwa sana ,kila siku ale mchicha tu kaamia kwenye mapilau .
 
Weeh Kijino, hebu muache baba yetu apumzike jamani! Sie wenyewe hatujaenda shule hadi sasa hivi manake hajatupa mshiko wetu wa daily bread ya kila siku.
 
Weeh Kijino, hebu muache baba yetu apumzike jamani! Sie wenyewe hatujaenda shule hadi sasa hivi manake hajatupa mshiko wetu wa daily bread ya kila siku.

c mngemgongea mlango? Au na nyie mlitaka kutega tu shule, au kabila lenu haliruhusu watoto kuwagongea mlango wazazi?
 
Jamani Mtambuzi uko wapi? Nafungua mmu coni habari unazotuleteaga kila ijumaa, au ni mimi tu ndio sioni? Mana napenda kusoma hyo mikasa, hata iwe ndefu vipi, popote ulipo nakuomba ujitokeze.

hahahah umekumbuka stori zake za uongo, hafanikiwi kama PIMBI
 
Jamani Mtambuzi uko wapi? Nafungua mmu coni habari unazotuleteaga kila ijumaa, au ni mimi tu ndio sioni? Mana napenda kusoma hyo mikasa, hata iwe ndefu vipi, popote ulipo nakuomba ujitokeze.

we uwezi kule stori tukiwa tunamsubiri Mtambuzi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom