Mtambuzi;You are too bias.

???????? ........ !!!!!!!!!!!!!!!!

black-man-thinking-400x450.jpg

Picture can............................ Words.
 
Fikra za mtu ni zile zile hata ningejiunga 2006.Mawazo yangu huru ambapo hakuna mtu anayeweza kuzuia kufikiri kwa binadamu ndo kumenituma kuandika.Halafu who told you kila tarehe mtu anayoanza kuandika huku ndo ameingia?!vinginevyo hilo neno hapo chini(guest) lisingekuwepo
 
don worry Mtambuzi listens, he will give what you want!
Be happy!
 
Najaribu kutafuta neno gani la kitaalamu litakufaa silipati naona shizofenia halifai.Yani kaka mada zako huku ni ke tu mara wanawake wanene mara cjui niini,na kama umegundua karibu zote unaishia kusema"haya kina dada karibuni"hahaha nafikiri saikologikali there is problem somewhere someplace.Nakuomba basi kuanzia kesho tuletee masahibu ya me.Au?somo zuri latoka pande zote ati.

hehhehee...mimi pia nililiona hilo kitamboooo!
 
Mzee mwenzangu Mtambuzi, hili naona ni suala dogo sana, sidhani kama unahitaji mshauri au hata wakili wa kukutetea
 
Last edited by a moderator:
Mada za kisaikolojia au za utambuzi km mtambuzi anavyoziita zimejikita zaidi kwa wanawake ingawa sio zote, lakini mada nyingine zinahusu wote, kwa mfano makala zake za kesi zinahusu watu wote. Jaribu kufuatilia utalitambua hilo
 
Najaribu kutafuta neno gani la kitaalamu litakufaa silipati naona shizofenia halifai.Yani kaka mada zako huku ni ke tu mara wanawake wanene mara cjui niini,na kama umegundua karibu zote unaishia kusema"haya kina dada karibuni"hahaha nafikiri saikologikali there is problem somewhere someplace.Nakuomba basi kuanzia kesho tuletee masahibu ya me.Au?somo zuri latoka pande zote ati.

muache tu...........kuna mwingine naye anamwaga kuhusu me........kila mtu kabarikiwa tofauti, yeye kaamua kujikita na ke
 
Back
Top Bottom