Mkatavimeo
JF-Expert Member
- Jan 3, 2011
- 2,150
- 868
Loh! Pamoja na comments za watu wote, hongera sana Mtambuzi! Ntakuungisha one day, inshaalah!
Inafunguliwa rasmi leo maeneo ya Tabata Ubaya Ubaya.....
Naomba mniunge mkono wana JF, ndio nimeanza mchakato wa kujiajiri ili kuondokana na umasikini.
Nyama choma, ndizi choma, na mchemsho wa kuku wa kumwaga.........
acha kumtia majaribuni baba canta,eti unamtunzia hela,boo!Mie mhudumu wa nini??
Usikute namhudumia mwenye bar kuchukua pesa zake zote na kwenda kumalizia li-losheni langu kule ufukweni
acha kumtia majaribuni baba canta,eti unamtunzia hela,boo!
Sura yake uyo mama na Matendo yake Baba 1 mama 1,Mx
Usinitie ktk kishawishi,
lakini unitetee kwa ma-Mod,
Asante.
Haya mwaga majibu...