Mtambuzi Pub

Hahahaaaaaaa mna vituko nyieee...........hongera mkuu na kila la kheri. Inshaallah nitakuja kukuunga mkono ila itabidi nimuombe Asprin anilete kama atakubali.
Kabla sijakupeleka, kwanza niambie umenisamehe kwa niliyokutendea?

575177_380961348622526_984977173_n.jpg
 
Kwa roho moja mpenzi wangu...........:mwaaah::mwaaah::mwaaah: haya nipe kidate basi
Amin Amin nakuambia, leo mimi na wewe tutaambatana kwenda Mtambuzi Pub kupata albatar na kishushio, afu tukirudi ntakutendea ile haki yako unayoipendaga sana ukishapiga Amarula zako.
 
Last edited by a moderator:
Amin Amin nakuambia, leo mimi na wewe tutaambatana kwenda Mtambuzi Pub kupata albatar na kishushio, afu tukirudi ntakutendea ile haki yako unayoipendaga sana ukishapiga Amarula zako.

Mzee labda ubebe HEMA, maana hali ya hewa leo hii guest ya KITURUNYA imejaa mapemaa, na hakuna aliyechukua chumba kwa mkataba wa chapchap, wote wamelipa buku saba mpka kesho..........
 
Mzee labda ubebe HEMA, maana hali ya hewa leo hii guest ya KITURUNYA imejaa mapemaa, na hakuna aliyechukua chumba kwa mkataba wa chapchap, wote wamelipa buku saba mpka kesho..........
Hahahahaha..... kulaaleki kumbe hiyo makitu iko karibu na KITURUNYA? Ahsante kwa taarifa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom