Mtambuzi Pub

Hatua nzuri hii itasaidia kupunguza gap za mishahara ila jipange maana huwa zinafunguliwa nyingi sana so service ni kitu muhimu,usafi huvuta sana wateja
All in all all the best.
 
Muonekano wa Mtambuzi Pub kwa nje, hapo vijana wa kitaa wakicheza Pool......


170911010221-225496_686662605653_18205516_37008496_254521_n.jpg
 
Ndo wapi hapo Ubaya ubaya?
Au tukija via private kuna alama gani?

Unashuka Tabata relini halafu unatembea klilomita moja kuelekea St. Mary College, kisha unakata kushoto unatembea mpaka Ubaya Ubaya, halafu unaingia kulia unashuka bondeni utanikuta mzee mzima niko kaunta mwenyewe nasongesha
 
Unashuka Tabata relini halafu unatembea klilomita moja kuelekea St. Mary College, kisha unakata kushoto unatemeba mpaka Ubaya Ubaya, halafu unaingia kulia unashuka bondeni utanikuta mzee mzima niko kaunta mwenyewe nasongesha

Asante.
Ila c tunakunywa huku unatupigia hadithi ee!!(joke)
Ok ngoja nijipange tutakuja kukuunga mkono.
 
Hongera sana, ungeandaa siku ya ufunguzi rasmi wa hiyo Pub na kutumpa mwaliko maalum wana JF siku chache kabla tuweke maratiba vizuri ingekuwa nzuri zaidi tuje tufahamiane pia! (Joke)
Tuko pamoja mkuu, tutakaribia!
 
Kuna jamaa yangu amekuja jana kutoka AR kunipa taff ni bingwa wa nyama choma kule Kwa Moromboo Arusha......!
 
Hii ni Pub tu ndugu zangu, maalum kwa Nyama choma, ndizi choma, na mchemsho wa kuku wa kufa mtu, karibuni. Kwa leo pekee yake mimi na Mtambuzi tutakuwa tunawahudumia kwa nyama choma, njoo ushuhudie mwenyewe!

Kwa wale watakaotaka kuja kuna jamaa anaendesha bajaji hapo relini maarufu kwa jina la Tombya, yeye atakuleta kwa buku tu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom