Elections 2010 Mtambo hupo mikononi mwa ccm!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,575
8,595
Hivi naomba niulize kitu kimoja maana naona dhahiri hapa kuna walakini!!Nilisikia serikali imeagiza mtambo wa kuchapisha karatasi za wapigakura badala yakuagiza swali ni vipi serikali iliyopo madarakani itashindwa kudurufu hizo karatasi??Je Kutakuwepo na imani kuhusu hilo??Je Wapinzani wanajizatiti vipi kuweka waangalizi wasio hongeka??
Naomba wa dadavuaji mtujuze!:confused2:
 
Ndo shida ya kucheza na mwenzio ambaye yeye ni refa vilevile... Unadhani kuna mtu asiyehongeka? Sema tunatofautiana kwa kiasi cha kutuhonga...
 
Uchaguzi na matokeo vyote viko tayari...inasubiriwa kuapishwa tu....ndio maaana JK anaongea mzaha tu kwenye kampeni...anajua keshashinda tayari....chakachua type
 
Mkuu, usikate tamaa kiasi hicho!!!
This tym is gonna be different.......you will see!
 
Kura zinaandaliwa UK; walijaribu mashine ile wakaona haitaweza wakatenda na watu wa UK ndio wanazitengeneza; chakachua haitakuwepo labda wafanye manipulation kwa wasimamizi na watangazaji wa matokeo; hao ndio siwaamini
 
Back
Top Bottom