Mtakao lala Gesti leo maswali yenu haya hapa

Hv nyie mnatumia vichwa vya chini eh?
Majibu ndiyo siri wala sio maswali maana maswali hayo ataulizwa kila anayehusika!
MAJIBU NI SIRI KATI YA KARANI NA ANAEHOJI NA HAPO HAKUNA SIRI ILOVUJA ZAIDI YA KUWAFAHAMISHA MASWALI TU
 
wanazidi kudhihirisha namna walivyodhaifu kwenye uongozi. Hili zoezi likishindikana ni wao wamekwamisha. Rais- makamu wa rais- rais znz-makamu wawili-nkurugenzi wa sensa- igp- kanda maalum dar! Wote hao ni wao, aafu wanavibembeleza vijitu visivyo na serikali. Ni udhaifu tu!

mbona sensa yako ya viongozi imejumuisha dodoso la dini?
 
Swali la kwanza lina umuhimu gani? Kwani serikali inapanga maendeleo kwa kutegemea majina ya watu?
 
siyo ndugai tu, kiukweli kuna watu wana siri zao moyoni hata wewe usikute huyo unayeamini nibaba yako siyo..lol

Ni kweli kabisa. Ila hata nikiambiwa leo sio baba yangu, bond tuliyonayo hata huyoatakaesemekana kuwa biological father wangu hataweza kuijenga katika siku zake zilizosalia hapa duniani.
any fool can be a father, but only a few can make good daddies. Mtambuzi, njoo nikufyagilie daddii wangu. Nakufanyia unoko vile nakupenda sana:A S-baby:
 
Last edited by a moderator:
Mliorudi majumbani past midnite mjue hamuhesabiwi. Mtahesabiwa bar na club. Rudini kwa kisingizio cha supu
 
swali lingine;
account yako ina shilling ngapi?
2.una nyumba ngapi?
3.una nguvu za kiume?. mia

umelala na mkeo au na nyumba ndogo au na changu?
Kama jibu ni changu; je amekuchaji bei gani?
Na je mkeo wa ndoa umemuagaje? -umeenda semina? una dharura ofisini? Gari imeharibika? waweza kuongeza
n
Je umetumia kitendea kazi?
kama jibu ni ndio tafadhali taja aina; Mfano: Salama; rough rider; Lady pepeta-----
 
Hv nyie mnatumia vichwa vya chini eh?
Majibu ndiyo siri wala sio maswali maana maswali hayo ataulizwa kila anayehusika!
MAJIBU NI SIRI KATI YA KARANI NA ANAEHOJI NA HAPO HAKUNA SIRI ILOVUJA ZAIDI YA KUWAFAHAMISHA MASWALI TU
nani kakwambia ivo? au ndivo unavyodhani?nyie ndo mnaofaulsha watoto,f 1 haui hata kuandka jina...mkidhn mmewaonesha maswl c majibu... thn mbona unakua umevmba ivo?
jf ni sehem ya burudan kuelimishana...
 
Job ndugai sijui atajibuje lile swali la 'una watoto wangapi'. Lazma fomu yake iharibike, ole wao wamuulize mbele ya mkewe!

Nimecheka mpaka mbavu sina. Yaani unataka kuniambia mkuu huyu JOB anavyotambulisha mkewe kwa Mbwembwe mjengoni yaani ni kiini macho tu? Na Nchemba Mwigulu atakuwa nao wangapi? Sijui yule mke wa ustadhi kama alimwacha salama!!! Ingekuwa na wa tumboni wanahesabiwa, yaani ni balaa!!
 
Back
Top Bottom