Mtakao lala Gesti leo maswali yenu haya hapa

yegella

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,113
1,102
MASWALI YA SENSA KWA AJILI YA WASAFIRI NA WALIOLALA HOTELI/NYUMBA ZA WAGENI
1. Jina ……………………………………………………………………………………………
2. Jinsi (ME/KE)…………………………………………………..
3. Una umri wa miaka mingapi? ……………………………………………………………………
4. Ni nini hali yako ya ndoa? ………………………………………………………………………………….
(Umeoa/Hujaoa, Umeolewa/Hujaolewa, Unaishi pamoja na mwanamke/mwanaume, umeachana,umetengana,umefiwa na mke/mume)
5. Je, unajua kusoma na kuandika katika lugha ya 1) Kiswahili, 2) Kiingereza,3) Kiswahili na Kingereza au 4)Lugha nyingine yeyote? ……………………………………(Chagua jibu moja).
6. Je, kwa kawaida unaishi mkoa/nchi gani?
Mkoa............................................. Wilaya…………………………………………………………
Nchi ………………………………………………………………….
7. Je wewe ni raia wa nchi gani? ……………………………………………………………………………
 
we c umekula kiapo cha kutunza siri? au hukuelewa unaapa nini?
nshakosa imani na makarani wa sensa 2012
 
we c umekula kiapo cha kutunza siri? au hukuelewa unaapa nini?
nshakosa imani na makarani wa sensa 2012

hata mi namshangaa. Tumeambiwa maswali na majibu ni siri sasa huyu mwenzetu anatuletea hapa. Siri yetu iko wapi? Nyie ndo mmewekwa kureplace walimu? Pumbaf kabisa, kwani nini cha ajabu kwenye maswali hayo ambacho kinanufaisha wachache kiasi cha kutaka kila mtu ajue? Anyway tz ishakuwa ya wapumbavu wengi!!
 
swali lingine;
account yako ina shilling ngapi?
2.una nyumba ngapi?
3.una nguvu za kiume?. mia
 
me sina imani na HAJAT WA SENSA

wanazidi kudhihirisha namna walivyodhaifu kwenye uongozi. Hili zoezi likishindikana ni wao wamekwamisha. Rais- makamu wa rais- rais znz-makamu wawili-nkurugenzi wa sensa- igp- kanda maalum dar! Wote hao ni wao, aafu wanavibembeleza vijitu visivyo na serikali. Ni udhaifu tu!
 
Swali la ziada, je uliye Lala nae Leo ni mke au mme wako? Au je ni Sawa na yule wa malima Wa morogoro?

Hahahaha, hivi kujibu maswali ya sensa ni hiari eeh? Manake kuna maswali wadau watapenda kukwepa.
 
Job ndugai sijui atajibuje lile swali la 'una watoto wangapi'. Lazma fomu yake iharibike, ole wao wamuulize mbele ya mkewe!
 
Job ndugai sijui atajibuje lile swali la 'una watoto wangapi'. Lazma fomu yake iharibike, ole wao wamuulize mbele ya mkewe!

siyo ndugai tu, kiukweli kuna watu wana siri zao moyoni hata wewe usikute huyo unayeamini nibaba yako siyo..lol
 
KWANI KUNA SIRI GANI HAPO??? Maana hakuna Mtu aliyejibu swali lolote lile.... Siri ni baada ya Mtu unayemuhoji kukujibu. Kile anachokujibu ndo Siri acheni kukurupuka. Nampongeza jamaa maana amewafahamisha wananchi maswali na si majibu.

Maswali hayana tatizo lolote lile maana Wananchi Wakishaulizwa maswali hayo watakaa Vijiweni/Kahawa Na kuanza kuuliza "Je karani alikuuliza Maswali gani."

TOFAUTISHENI SIRI NA MASWALI AMBAYO YATALETA MAJIBU YA SIRI.

Safi sana mleta Mada

KUMBUKENI NA HAYA kwa watu wa Nyumbani

1. Idadi ya Mifugo
2. Kama unajishughulisha na kilimo[mahindi,mihogo,ndizi na mazao Mengine]

Mengine mtaulizwa na makarani
 
haya yote cha mtoto najua makarani watahanya kwenye maswali ya shughuli za kiuchumi swali la 23 hadi 27 kwenye dodoso refu hapo itakuwa mbinde na wengi watakanganya hapo maana mageresho yamechanganyana ile mbaya.
 
wale watakolala gesti na vimada wataulizwa
je kwa wiki huwa unatoka nje ya doa yako mara ngapi?
 
Back
Top Bottom