Mtaji Wangu wa THANKS, wote umepotea.. Hii Hiii iiiiii :(

Nafikiri watu wa kulalamika thanks zao wangekuwa Mwanakijiji, Waberoya, NN na mwingine mmoja nimemsahau maana hao ndio walikuwa na THANKS lukuki.
 
Nafikiri watu wa kulalamika thanks zao wangekuwa Mwanakijiji, Waberoya, NN na mwingine mmoja nimemsahau maana hao ndio walikuwa na THANKS lukuki.

Kaka, mimi nilikuwa na senksi kibao. Kuanzia 07 mpaka 09 mwanzo nilikuwa nishajikusanyia senksi bwerere. Ghafla na bila maelezo zikatoweka.

Haya, tukaanza upya. Nikajizolea tena alfu tatu na ushee. Fyuuup…na zenyewe zimetoweka.

Kumbuka, kati ya 07 na 09 mwanzoni senksi nyingi zilikuwa hazitolewi kishkaji. Sikuwahi hata siku moja kumwona Mama kwa mfano, akimwomba senksi Kuhani au Mwafrika wa Kike akimwomba senski NN! Kwa hiyo zile za mwanzo kabisa mimi naziona zilikuwa genuine kuliko hizi za sasa.

Siku hizi mtu hata ukiguna tu "hmm" unagongewa senksi na washikaji zako. Sasa kweli zina maana yoyote hizi senksi? Katu, hata kidogo. Si kwangu!
 
Kaka naona kupotea kwa hizo senksi kumekuuma sana. Wewe potezea tu kwa sababu hazina maana. Watu hata vicheko wanatolea senksi. Mishangao kama “duh” wanatolea senksi. Watu wanaombana hizo senksi. Sasa zina maana gani hizo senksi?

Wewe zipotezee tu.

Poa Mkuu ila mimi zile za Thanks Given.., ndio ni issue sababu zangu huwa hazitoki kama karanga na kupata watu wa kuwapa napo issue sasa kuja kufikisha tena 1000 thanks given si itakuwa 2020 alafu watafuta tena...!! duhh kweli hii bora kuachana nayo tu..., unless tukiweza kuzi-convert katika monetary value na kuzinunua naona watu ndio wataanza kuzitumia ipasavyo
 
Viva JF for bringing back the Thanks bottom. Lakini naona Thanks za nyuma zimepotea. Invisible aliyejiunga na JF mwaka 2006 ana Thanks 17 hadi sasa. Ina maana tunaanza upya?
 
Duh post takriban elfu 5 sijawahi kutoa wala kupokea Thanks hata moja..!!!
Nilidhani nina mtaji wangu tayari, ukiona hivi unaweza kusema huyu Jamaa ni mchoyo kweli kweli..!!!
Ngoja nianze kuzunguka na kutafuta mapost ya watu na kumwaga mi-Thanks...

By the Way Have A Nice Weekend...

Join Date : 4th November 2010
Location : Everywhere
Posts : 5,010
Thanks0
Thanked 0 Times in 0 Posts

Rep Power : 72
nimekugongea hapo
 
Kaka, mimi nilikuwa na senksi kibao. Kuanzia 07 mpaka 09 mwanzo nilikuwa nishajikusanyia senksi bwerere. Ghafla na bila maelezo zikatoweka.

Haya, tukaanza upya. Nikajizolea tena alfu tatu na ushee. Fyuuup…na zenyewe zimetoweka.

Kumbuka, kati ya 07 na 09 mwanzoni senksi nyingi zilikuwa hazitolewi kishkaji. Sikuwahi hata siku moja kumwona Mama kwa mfano, akimwomba senksi Kuhani au Mwafrika wa Kike akimwomba senski NN! Kwa hiyo zile za mwanzo kabisa mimi naziona zilikuwa genuine kuliko hizi za sasa.

Siku hizi mtu hata ukiguna tu “hmm” unagongewa senksi na washikaji zako. Sasa kweli zina maana yoyote hizi senksi? Katu, hata kidogo. Si kwangu!
Ni kweli kabisa kaka maana hadi mtu anakutumia PM kukuomba umgongee thanks inakuwa haina maana tena
 
Poa Mkuu ila mimi zile za Thanks Given.., ndio ni issue sababu zangu huwa hazitoki kama karanga na kupata watu wa kuwapa napo issue sasa kuja kufikisha tena 1000 thanks given si itakuwa 2020 alafu watafuta tena...!! duhh kweli hii bora kuachana nayo tu..., unless tukiweza kuzi-convert katika monetary value na kuzinunua naona watu ndio wataanza kuzitumia ipasavyo

Wewe uko kama mimi. Ingia tu hata kwenye profile yangu uone nimetoa Likes kiasi gani ndo utajua nikoje. Sitoagi tu hivi hivi mimi. Na senksi nazo nilikuwa hivyo hivyo. Nilikuwa sizitoi kishikaji.

It takes a lot for me to be impressed.
 
baba mtoto, hebu kerebisha kwanza hiyo heading,manake nimestukaa! senk yu in advance...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom