funny
Senior Member
- Jun 30, 2012
- 102
- 23
Mimi nimemaliza kidato cha nne miaka ya tisini. sikufanikiwa kuendelea na masomo kutokana na matatizo ya kifamilia.
Na sasa nina familia tayari swala la kurudi shule naona kama ni gumu kidogo. Nina kiasi cha tzs 4 million ambazo nahitaji kuinvest ktk biashara au popote kulingana na nitakavyo shauriwa nanyi wadau.
serious nahitaji msaada wenu ilikuweza kuendesha maisha kwa njia za halali.
Natanguliza shukrani kwa msaada kutoka kwenu wadau.
Naombeni maoni yenu.