EMEDNEY
Member
- Sep 20, 2012
- 72
- 38
ningekushauri ufungue kitu ambacho una uzoefu nacho yaani ujuzi wako umebase wapi ndo ufungue kama wewe ni daktari au medical assist, au nesi basi ufungue duka la madawa kwani ndo fani yako
kama wewe ni mtaalamu wa mamboya IT basi fungua duka la kuuza computer, printer, scanner au chochote kinachoendana na hicho
kama wewe ni mfamasia au una ujuzi wowote fungua kitu kihusisho hicho kitakusaidia kwani utakuwa na ujuzi nacho kuliko kufungua kitu ambacho una ujuzi nacho utateseka best
ila fungua mradi wa kuku unalipa sana watafute watalaamu wakuelekeze kidogo namna ya kufanya utafainikiwa natumai mpaka hapa umeninielewa bestito
Yap nimekuelewa ila kielimu NIMESOMEA CIVIL ENGINEERING na biashara ambazo nitahitaji kufanya kuhusiana na Elimu niliyonayo zinaitaji MTAJI mkubwa sana na ndio sababu ya mimi kufikiria wazo kwama hili.
Ahsante pia kwa wazo la kufuga kuku wa kisasa ila pia hilo ujuzi nalo sina ila kama unaidea kuhusiana nalo may be waweza kunipa mwangaza kwa hilo best