Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

Wakuu muda umefika sisi kama vijana wakitanzania kuwa na aidea ambazo ni sustainale, Tuachane na biashara za uchuzi na tufanye project zenye feature kwaa baadae,

Safari ya maisha yako katika biashara inaanzia hapa, Ni bora unapo kuwa na wazo la biashara kuwa na wazo la kudumu miaka 100 ijayo hata kama hutakuwepo duniani kipindi hicho ila biashara yako itakuwepo,

Watu kama hawa waliangalia mbali sana

1. Michaele Dell- Ingawa hayupo Duniani ila kazi yake ipo, huyu jamaa hakuangalia kwenye kupata faida ya muda mfupi

2. Honda- Hon da hayupo duniani- Ila kazi yake bado ipo

3. Henry Ford- Aliona mbali sana

Wako wengi sana, Kuna post nili iweka humu Kuhusu CHINA ingawa watu hatutaki kuisoma ila ina ujumbe mkubwa sana, CHINA KUNA WATU WANAANZA TRANSPORT COMPANY NA BAISKELI LAKINI MWISHO WA SIKU WANAKUJA KUMILIKI MAGARI MAKUBWA YA MIZIGO huyu aliona mbali na alivyo anza Transport company na baiskeli pekee alijua anako tarajia kuwepo siku moja,

Wakuu turudu kwetu, UNAPO KUJA NA WAZO HAKIKISHA WAZO LAKO HALIISHII NJIANA NA HAKIKISHA NI SUSTAINABLE WAZO,
Mfano

1. Kuuza Mitumba- Hapa hakikisha unataka kuwa wapi siku moja? Je kuuza mitumba Dunia nzima?

2. Ukianza Biashara ya Mugahawa jiulize unataka kuwa wapi siku moja? Je unataka kuwa na migahwa East and Centre Africa?

3. Samaki- Je unataka kufika wapi na hao samaki?

4. Salooni- Je unata kufika wapi na saluni?

5. Tex- Je lengo lako ni nini? Je ni siku moja kuwa na kampuni kubwa ya Tax Africa?

6. Kufuga kuku- Je unataka kuwa na nini katika hii biashara ya kuku?

7. Kufuga ngo'ombe- Je unataka kuwa wapi siku moja na ufugaji ngo'ombe?

WAKUU TUMEKUWA TUKIFANYA BIASHARA KAMA ZIMA MOTO- Leo utasikia anafuga kuku. kesho kaisha acha kuku ana miliki Tex; kesho kutwa kaachana na Tex ana miliki kibanda cha M- pesa, mara kaacha kibanda cha M-PESA sas ana nunua viazi kutoka Iringa na kuleta Dar,

Wakuu kuna thread yangu kuhusu Ni muda upi sahaihi wa kuanza biashara, someni hiyo thread,

UNAPO TANGAZA KUINGIA KATIKA BIASHARA INGIA MOJA KWA MOJA UKIWA NA LENGO LA KUFIKA MBALI SANA NA HIYO BIASHARA YAKO
 
Mkuu kwanza unatakiwa kuwa na idea yako ya biashara. Mimi nadhani kama unataka kusaidiwa, nivizuri kutaja biashara ambayo ungeipenda kuifanya, hapo utasaidiwa mawazo mazuri.
Naomba niende tofauti na wewe kidogo, inshu siyo kuwa na idea coz kama mtu anaidea haina haja ya kuja kutafuta idea, ok Mtei alitakiwa atueleze interest zake(yaan yeye anapendelea bishara za aina gani), experience yake katika bishara, elimu yake, je yuko tayari kupata risk ya kiasi gani?,

Je anahitaji mzunguko wa haraka au hata wa mda mrefu kidogo, umri wake maana baadhi ya biashara zinaendana na umri, mfano si vyema sana kijana around 22-35 akakaa kijiweni anauza kahawa, hata mzee wa miaka 60+ afanye biashara za kusafiri kila mara, jee yuko tayari kufanya biashara ya ki provide service au invontory, na je anauelewa kiasi gani na technolojia eg computa,
 
naomba niende tofauti na wewe kidogo, inshu siyo kuwa na idea coz kama mtu anaidea haina haja ya kuja kutafuta idea, ok Mtei alitakiwa atueleze interest zake(yaan yeye anapendelea bishara za aina gani), experience yake katika bishara, elimu yake, je yuko tayari kupata risk ya kiasi gani?, je anahitaji mzunguko wa haraka au hata wa mda mrefu kidogo, umri wake maana baadhi ya biashara zinaendana na umri, mfano si vyema sana kijana around 22-35 akakaa kijiweni anauza kahawa, hata mzee wa miaka 60+ afanye biashara za kusafiri kila mara, jee yuko tayari kufanya biashara ya ki provide service au invontory, na je anauelewa kiasi gani na technolojia eg computa,

Mkuu naomba kupingana na wewe kabisa

1. Elimu yake- Elimu si hoja kabisa mkuu- Unaweza kuwa na elimu ta Darasa la saba lakini ukaanzisha kampuni ya consultance- majsirimali ni mtu anaye ona jambo fulani na kuklibadilisha kuwa opportunity, Unaweza funfua Gospitali ukiwa umesomea socilogy,
iNGAWA SOME TIME ina kuwa vice vesa

2. Risk haipimwi hata siku moja- Haukuna mahali popote pale Duniani unaweza kuipima riski yako kwamba mimi mwaka ujao nitapata hasara ya milioni 500 no sana sana huwa ina be predictaed tena in term of percent, NDO MAANA INAITWA UCALCULATED RISK,

3. Mzungo wa haraka ndo nini?- Mkuu ukiingia kwenye Biashara ukiwa na matarajio ya kutajirika hutakaa ufanikiwe hata siku moja- UTAJILI NI MATOKEO YA WEWE KUTOA HUDUMA ILIYO BORA-

MFANO UNAFUNGUA MGAHAWA- Usiingie na mikakati ya kutaka kununu Gari, wewe ingia ukiwa na lengo la kutoa sevice iliyo bora na ya hali ya juu, kupitia hiyo service ndo watu watakuunga mkono na hapo unajikuta automaticaly unakuwa tajiri,

WABONGO SASA- Mtu anaingia katika biashara na leongo la kutajirika kama jirani yake au kama rafiki yake- ANAFUNGUA HOTEL MATHALANI , WAFANYAKAZI HOVYO, CHAKULA KIBAYA, BEI JUU, HAPO TARAJIA KUFUNGA HIYO BIASHARA MAKE WEWE HUKINGIA KWA LENGO LA KUTOA HUDUMA BALI KUTAJIRIKA

4. UMURI- Mkuu umuri si hoja kabisa na hapo ndo kuna tatizo kwa WATANZANIA, KWAMBA MIMI KAMA KIJANA SIWEZI ANZISHA BIASHARA YA KUPIKA MANDAZI KWA SABABU NITACHEKWA, MIMI KAMA GRADUATE SIWEZI ANZISHA BUSTANI YA MCHICHA KWA SABABU NITACHEKWA NA MARAFIKI NA NDUGU,

Kinacho takiwa ni malengo na wala si miaka,

5. ISHU ZA KUSAFIRI- Tunaachwa nyuma sana na techinolojia- kwa dunia ya sasa watu wanaagiza mzigo na unaingia bila wao kusafiri, kuna M-PESA, KUNA MABENKI, KUNA SIMU, KINACHO TAKIWA NI KUFANYA BIASHARA YA UAMINIFU NA YA KISHERIA

Tatizo wabongo tunafanya informal Business kiasi kwamba mkizuruminana hakuna pa kwenda kulilia, INATAKIWA MUWE NA CONTACT NA MNASAINI MU Memorundum of Understanding, theni mnapiga kazi
 
Mkuu mtoa mada ameandika hivi "Msaada jamani nataka kufanya biashara nina 1m. Sijui nifanye biashara gani?" ukisoma vizuri you will notice that hii ni tungo tata. Either the person in question has got so many business ideas na anashindwa kuchagua biashara moja or hajui kabisa biashara ya kufanya.

Ni ngumu sana to impose your ideas or interest to another person. Mimi nadhani ni vyema to have a clue ya interest zake kibiashara. To become an entrepreneur a person has to enjoy using his talents, skills, time and resources.
 
Wamekushauri wengi na ushauri ni mzuri mimi nikushauri wewe na wengine kama wewe unatoa nafasi nzuri zaidi ya kushauriwa specifically kama ukifanya homework yako kidogo ukasogea barabarani kwani nakuona kama anayeomba lift akiwa home kwake. Anza kwa kusema mimi nina mtaji wa wa 1m na nina mawazo ya kufanya biashara katika njanja moja ya 1,2,3 naomba ushauri wenu....
 
Hujachelewa na umefanya vema kuuliza hapa. Majuzi tu kipindi cha pasaka nilifanya utafiti miji mitatu ya Dar, Moro na Iringa, nikagundua kuwa mtaji mdogo kama wako ni mkubwa kutosha kama unaweza kununua cooler ya laki tano, na kisha jibanze kwenye upeno wa mfanya biashara mwingine mkubwa uwe unauza vinywaji baridi (soda na maji) na utamlipa pango kidogo kuliko kutafuta sehemu yako kwa mtaji wako mdogo.

Soda moja utapata faida ya Tsh 200, kama kwa siku utaweza kuuza creta tatu
maana yake 200 X 24 X 3 = 14,400. Kama utauza zaidi na kuweka vitafunio na vivutio vingine ujue biashara hapo itakubali tu, mradi utafute sehemu ambayo kuna wapita njia wengi na ni open space to the public.

Usiumize kicha kufikiri mtaji ni mdogo la hasha, kwani kama unaweza kupata cooler isiyozidi laki 6, zilizobaki laki nne zinatosha kununua creta za soda na vinywaji vingine pamoja na vitafunio. Bidhaa aina hiyo ni rahisi hata kuhesabu faida na hasara kwa kila chupa na creta kama umemweka mwuzaji. Mitumba kazi kwelikweli, biashara hiyo yataka moyo.
 
Fanya network marketing..haina headache ya msimamiz, haina capital kubwa ya kuumiza kichwa, haulipi rent, wala hulipi kodi....ukiwa serious ndani ya mwezi mmoja pesa yako inakuwa imerudi na unaendelea kula faida...Mimi nimeanza Dec mwishoni kwa mtaji wa laki 7, hadi sasa akaunti yangu ya hiyo biashara ina 3.2m cash ambayo haikatwi kodi na mtu yoyote.

Pia naifanya kazi hii part time yani baada ya kutoka kazini jioni, na ukumbuke hiyo 3.2 ni bonus inayoingia direct kutoka kwa mwenye kampuni...acha direct selling nazofanya...so the ball is in your hands...anaetaka kuelekezwa zaidi ho..call 0717/936455 au 0784703920
 
Komandoo, unatoa points nzuri,ila mpangilio wa maneno na matumizi ya uandishi fasaha vinakupitia kushoto kabisa,au kiswahili ni lugha yako ya tatu/nne? kabla ujaposti points zako fanya review ya ulichokiandika,unatufanya tutumie energy zaidi kusoma post zako
 
HI,KAKA WISE;Mie nimevutiwa na ushauri ulompa kaka hapo juu ila SAMAHANI NILIKUWA NAOMBA UNIELEKEZE NI SEHEMU ZIPI AMBAZO NAWEZA KUPATA MITUMBA KWA LOBOTA,NI DUKUDUKU LANGU LA SIKU NYINGI NAOMBA NISAIDIE KAKA,PIA KAMA UTAKUWA UNAJUA NA WANAPOUZA LOBOTA ZA BUIBUI,Nikitu kilichokuwa kikiniumiza kichwa ila ckuwa na pa kupata jibu

TKNS KAKA
 
Ukitaka kufanya biashara nzuri ya mitumba, uwe na mmoja ambaye ana connection nzuri na majuu, anakutafutia hayo marobota na kukutumia. Ila jitahifi kutafuta mwaminifu, maana wengi ni matapeli maana dunia haiaminiki siku hizi. Mie na mapngo wa kutafuta wateja wa jumla wa kuuziwa mitumba.
 
Tatizo wabongo tunafanya informal Business kiasi kwamba mkizuruminana hakuna pa kwenda kulilia, INATAKIWA MUWE NA CONTACT NA MNASAINI MU Memorundum of Understanding, theni mnapiga kazi

Kimsingi kila mtu anakubaliwa kuwasiliana na wenzake , kama katiba inavyuoelekeza, lakini si kila maoni ni busara , inayotokana na hekima, kwa sababu, hekima ni kipawa kinachotukuka kutokana na uzoefu.Nachelea kusema hivi, si vyema kupotosha , au kujaribu kuonyesha hisia bila ukweli kama ifutavyo:

1.ELIMU KAMA MSINGI WA UJUZI

Ikumbukwe huyu mdau tayari kesha sema anao mtaji wa 1 mil , kuanzisha na kuendesha biashara.Kwahiyo, ni vyema akanzisha biashara inayoendana na upeo wake wa ufahamu , ili kusudi asiingie gharama nyingine ya kununua ujuzi huo kutoka kwa mtu mwingine.Mtaji ni wa kiasi hicho, hivyo kuanzisha biashara ambayo inahitaji ujuzi na utaalamu mkubwa , maanake aukodi au kuununua , hiyo fedha itatoka wapi?ni vyema kuzingatia upeo wa ufahamu ili fedha ya mtaji usitoshe na kumudu vyema kusimamia.Uzoefu, ni kwamba, imekuwa ni vyema mjasiariamali awe mwenye upeo sitahiki na ujuzi wa kuendesha biashara au shughuli yake ya kiuchumi, anao uwezo mzuri wa kusimamia na kuzimudu changamoro za kiuendeshaji kirahisi.Hivyo, kuanzisha biashara kwenye upeo mwafaka, ni chanzo kizuri cha kisimamia ipasavyo.Hivyo kufahamu kiwango cha elimu katika kuanzisha biashara ni jambo la msingi mno.Kwa msitakabari huu, kwa kuwa mtaji ni wa kawaida hata biashara ambayo itapendekezwa , inatakiwa iwe inafanana na upeo huo.

2,RISK

Kimsingi kuna risks ambazo ni unpredictable, lakini huyu mdau yeye kaomba ushauri wa kuanzisha biashara. maanake, pembe zote mwafaka na sitahiki za kuanzisha, kuendesha kuthamini zinatakiwa zichambuliwe kiusahihi, ili kulinda mtaji usipotee kirahisi kwa sababu vigezo fulani vya risk mgt havikuzingatiwa.Mfano, kuanzisha biashara bila kuchambua soko , huku ukitegemea kupata soko circmsitancially, huo, itakuwa upofu.Ni vyema kuzingatia kuwa soko linashikika, lipo kwa kiasi kukubwa na pana , lisilobadilikabadilika.Ni jambo la msingi mno.Au kufanya biashara ambazo purely ni risk involved , for sake zinalipa, huo ni upofu pia.ikumbukwe huyu mdau ndo fedha pekee , inatakiwa kulindwa kama mboni hivyo kuingia kufanya biashara bila kupima na kutathimi ipasavyo, ni kumtakia msongo.

3.UMRI

Ni muhimu kwa biashara ya mtaji wa namna hiyo .Kuna aina za biashara ambazo umri si jambo la msingi hasa kama mtaji ni mkubwa unaozingatia economies of scale kwa kuweka stable equlibrium of investment/firm, umri si kigezo.hapa umri ni muhimu.sababu huwezi kuanzisha biashara ya kuuza kahawa kwa mzee wa miaka 60, atawezaje kuzunguka mabarabarani?ni vyema umri ukafahamika ili kusudi kupanga biashara katika umri huo, muda huo, na mtaji tajwa ambao ndo concerpt.

4.KUSAFIRI

Mtaji tunaozungumza, ndo unaoazisha biashara.Hivyo kimsingi bado haujakuwa mkubwa kimanagement, hakuna uzoefu, bado changamoto hazijajulikana, ni vyema mjasiriamali huyo kuwa karibu na mtaji akisimamia, hivyo kama kuna biashara kwenye mtaji huo ni wazi unakuwa unazunguka hapa nchini, ni lazima aambatane nao kufuatilia kupata uzoefu, kujua changamoto zake, kuliko kama itakuawa biashara ya kusafiri yeye anaaigiza tu;mfano wamletee mchele wa kyela , yeye kalala, hapo mtaji atakuwa ameuuza.Kwahiyo kunafursa za kibiashra za kusafiri, zikipatikana, vyema akawa pamoja karibu na mtaji wake.Kuna gharama ambazo kama angekuwa karibu angeweza kuzipunguza, kuzikataa,lakini akiwa mbali ni lazima zitaongezeka hao anaowatuma nao watajipa kamshahara .

5.MZUNGUKO

Siku zote mtaji mzuri ni ule unaozunguka haraka, kuleta mafao mapema, kuliko unaozunguka taratibu kwa muda mrefu.Mtaji tunaozungumzia hapa ni 1mil, hivyo vyema kukawa na biashara ya mzunguko wa haraka, kumtia hamasa ya kuzungusha mapema zaidi kuliko biashara za mzunguko mrefu.Ikumbukwe dunia imezungukwa na mambo mengi, kama mabadiliko ya kisiasa, kiuchumi, kisosholojia, nk.Hivyo kuchagua biashara ya mzunguko mrefu, ni risk , sababu kukitokea mabadliko unakumbwa na mafuliko.
napenda kuwasihi sote ni wadau, si vyema kutoa uzoefu wa kupotosha sababu tupo kwenye mtadao, tuelimishane, ili tufanikiwe.
 
KOMANDOO unanivutia sana

Mkuu naomba kupingana na wewe kabisa

1. Elimu yake- Elimu si hoja kabisa mkuu- Unaweza kuwa na elimu ta Darasa la saba lakini ukaanzisha kampuni ya consultance- majsirimali ni mtu anaye ona jambo fulani na kuklibadilisha kuwa opportunity, Unaweza funfua Gospitali ukiwa umesomea socilogy,
iNGAWA SOME TIME ina kuwa vice vesa

2. Risk haipimwi hata siku moja- Haukuna mahali popote pale Duniani unaweza kuipima riski yako kwamba mimi mwaka ujao nitapata hasara ya milioni 500 no sana sana huwa ina be predictaed tena in term of percent, NDO MAANA INAITWA UCALCULATED RISK,

3. Mzungo wa haraka ndo nini?- Mkuu ukiingia kwenye Biashara ukiwa na matarajio ya kutajirika hutakaa ufanikiwe hata siku moja- UTAJILI NI MATOKEO YA WEWE KUTOA HUDUMA ILIYO BORA-

MFANO UNAFUNGUA MGAHAWA- Usiingie na mikakati ya kutaka kununu Gari, wewe ingia ukiwa na lengo la kutoa sevice iliyo bora na ya hali ya juu, kupitia hiyo service ndo watu watakuunga mkono na hapo unajikuta automaticaly unakuwa tajiri,

WABONGO SASA- Mtu anaingia katika biashara na leongo la kutajirika kama jirani yake au kama rafiki yake- ANAFUNGUA HOTEL MATHALANI , WAFANYAKAZI HOVYO, CHAKULA KIBAYA, BEI JUU, HAPO TARAJIA KUFUNGA HIYO BIASHARA MAKE WEWE HUKINGIA KWA LENGO LA KUTOA HUDUMA BALI KUTAJIRIKA

4. UMURI- Mkuu umuri si hoja kabisa na hapo ndo kuna tatizo kwa WATANZANIA, KWAMBA MIMI KAMA KIJANA SIWEZI ANZISHA BIASHARA YA KUPIKA MANDAZI KWA SABABU NITACHEKWA, MIMI KAMA GRADUATE SIWEZI ANZISHA BUSTANI YA MCHICHA KWA SABABU NITACHEKWA NA MARAFIKI NA NDUGU,

Kinacho takiwa ni malengo na wala si miaka,

5. ISHU ZA KUSAFIRI- Tunaachwa nyuma sana na techinolojia- kwa dunia ya sasa watu wanaagiza mzigo na unaingia bila wao kusafiri, kuna M-PESA, KUNA MABENKI, KUNA SIMU, KINACHO TAKIWA NI KUFANYA BIASHARA YA UAMINIFU NA YA KISHERIA

Tatizo wabongo tunafanya informal Business kiasi kwamba mkizuruminana hakuna pa kwenda kulilia, INATAKIWA MUWE NA CONTACT NA MNASAINI MU Memorundum of Understanding, theni mnapiga kazi
 
Fanya network marketing..haina headache ya msimamiz, haina capital kubwa ya kuumiza kichwa, haulipi rent, wala hulipi kodi....ukiwa serious ndani ya mwezi mmoja pesa yako inakuwa imerudi na unaendelea kula faida...Mimi nimeanza Dec mwishoni kwa mtaji wa laki 7, hadi sasa akaunti yangu ya hiyo biashara ina 3.2m cash ambayo haikatwi kodi na mtu yoyote. Pia naifanya kazi hii part time yani baada ya kutoka kazini jioni, na ukumbuke hiyo 3.2 ni bonus inayoingia direct kutoka kwa mwenye kampuni...acha direct selling nazofanya...so the ball is in your hands...anaetaka kuelekezwa zaidi ho..call 0717/936455 au 0784703920

is it FLP?
 
mimi ni mfanyakazi wa serikali nipo mbeya, nina elimu ya degree ya sheria, ila ninafanya kazi tofauti na sheria, hivyo kutokana na ugumu wa maisha nimeona bora nikope bank ili niweze kuanzisha biashara kwa ajili ya kuongeza kipato.

mkuu ulitakiwa uje hapa kabla ya kukopa,ulipochukua maamuz ya kukopa ina maana tayari ulikuwa na cha kufanya vinginevyo usingepata msukumo wa kuchukua pesa useless labda useme kuwa plan yako unahisi haitakuwa na tija,ila ngoja wakuu wakupe mambo
 
Usirudie tena kukopa kabla ya kupanga na kujiridhisha juu ya jinsi utakavyotumia mkopo huo. Never again. Okay?

Sasa, ingia kwenye suala la kilimo. Kodisha mashamba kisha ulime.
 
tehee......... tehee......... sipitendi kuwakera watu lakini kwa mazingira niliyopo ningenunua nguruwe mia kwa 20,000 and make money kwa mwezi sita

sina uhakika na hiyo bei ya 20,000,,,na hata ikiwa hivo utawalisha nini miez yote sita? Mabanda yao cost yake? nk
 
Usirudie tena kukopa kabla ya kupanga na kujiridhisha juu ya jinsi utakavyotumia mkopo huo. Never again. Okay?

Sasa, ingia kwenye suala la kilimo. Kodisha mashamba kisha ulime.

hata na kilimo nacho chaitaji kujipanga ni zao ghani linalipa pia
 
1. Sifurahishwi na Mwanasheria kukopa benki milioni 2 kama mtaji wa kuanzisha biashara wakati wanasheria straight toka vyuoni ndio wanalipwa ujira huo wakiwa Legal Officer tuu kwenya law firms!.
2. Kama ni mhitimu wa zamani kabla ya sheria ya law school, nakushauri fanya petition, usajiliwe kama wakili ndipo ufanya biashara ya maana zaidi kwa mtaji huo, fungua legal firm yako hapo Mbeya and you'll make it!.
3. Kama umeshakata shauri biashara ya sheria wewe hapana, then jifanyie utafiti wewe mwenyewe, jee ni biashara gani ina fall kwenye line yako and you are capable to do it within your limited resources?.
4. Zingatia sana bussiness line yako kwa kufanya kile unaweza. Nakushauri usiige biashara kwa kutazama kwa vile yule ameweza na wewe ni lazima utaweza.
5. Ukijiona huna bussiness ideas, then just search around common bussiness katika eneo lako ni biashara gani, fanya little research kama inalipa and what it takes, then tia mguu japo mwanzo mgumu.
6. Kwa haraka haraka 2.M unaweza kuanzisha biashara ya boda boda utainvest 1.8 na kuvuna 20,000 per day baada ya miezi 4, 2.M yako inarudi. Miezi 8 inayofuatia unatengebeza faida ya 4M. unaweza kuamua kuongeza boda boda nyingine 2 hivyo faida ita double na ku triple.

mahesabu kama yako hayo kuhusu boda boda yamepoteza wengi...then sijui ni boda boda za wapi zinazolaza 20000/= per day?
 
Wana jf,

Kwa mtaji wa Mdogo wa Tsh 500,000/= hadi Milioni moja ni biashara gani naweza kuanzisha na ikawa na mafanikio?
Mchango wako wa kimawazo ni muhimu sana.

Natanguliza shukrani za dhati
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom