Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

mkuu chukua nguo za mitumba grade A Kwa lobota mfano vitop, magauni, mashati ya kiume....then tegeshea wakati wa boom vyuoni mfano SUA, SAUT, MZUMBE, tembeza mzigo chumba hadi chumba...inalipa mbaya...nguo unainunua buku 3 kule unaiuza hd 15
Bonge la Wazo nitakuja nilitumie mimi hili wazo.
 
tafuta sehemu iliochangamka fungua salon ya kiume..kila siku watu wananyoa hakuna masika wala kiangazi hapo...u can mske more than 15000 per day
 
Wanajamii mie nimebahatika kupata hicho kiasi cha hela ila sijajua nifanyie biashara gani kwa hapa Dar ambayo itakuwa inazalisha vizuri zaidi? Mwenye idea naomba anijuze
 
KAMA HUNA AJIRA KABISA FANYA BIASHARA YA MAZIWA TOKA MKURANGA AU RUFIJI unanunua LITA 100 au lita 200

=> lita 1 @ 800/= au 900/=
=> UNAUZA DAR ES SALAM 1600/= au unafungua mgahawa wako unauza mpaka 2000/= kwa lita

=> CHUKUA HESABU HII LITA 100 UTANUNUA KWA 80,000/= UTAUZA UTAPATA 160,000/=

=> KATKA 160,000/= toa garama za ununuzi 80,000/= toa nauli 20,000/= toa 10,000/= YA WAFANYAKAZI WAWILI KILA SIKU @5000/=

=> FAIDA YAKO KILA SIKU 50,000/= KWA MWEZI 1,500,000/=

=> JE ukinunua lita mia mbili (200) KWA WAFANYAKAZI 4 WA KUSAMBAZA UTAPATA MILIONI 3 KWA MWEZI

=> KIFAA CHA KUPIMA KAMA MAZIWA YAMEWEKWA MAJI/KUCHAKACHULIWA KINAUZWA 30,000/=

=> MTAJI WA MAZIWA NI 100,000/= TU!, kiasi kilichobaki fungua mgahawa ili uuze maziwa yatakayobaki na kununua FRIJI/FRIZA YA KUHIFADHIA MAZIWA
 
UKISHINDWA LA MAZIWA

=> FUNGUA DUKA LA NGUO ZA WATOTO UMRI WA MIAKA 0 - 4, NA VIFAA VYAO KAMA PAMPAS,MIDOLI, HIZI NGUO ZINA WATEJA KIBAO,
=>WATOTO HUZALIWA KILA SIKU
=>WATOTO WA KWANZA KTK FAMILIA HUNUNULIWA NGUO HATA BILA BUDGET
=>WANAUME UNAWEZA MPIGA BEI YOYOTE, KWANI WANAUME HAWANA UTAMADUNI WA KUNUNUA NGUO ZA WATOTO MARA KWA MARA.

=> Angalizo usifungue duka la nguo za watoto vichochoroni
=> FUNGUA sehemu ZA MIJINI, KARIBU NA HOSPITAL ZA MKOA AU WILAYA, nk
 
NJOO MKURANGA ULIME MATIKITI MAJI BAADA YA SIKU 70 - 90 UNAVUNA (miezi miwili na nusu hadi mitatu unavuna) INALIPA

=> WEKA KICHWANI, UKILIMA TIKITI LIKIKOMAA PINDI KUNA MATUNDA MENGINE hasa maembe na nanasi HUKOSA SOKO hasa mwezi DECEMBA hukosa bei sababu ya matunda ni mengi sokoni maembe na nanasi

KILA LA KHERI
 
Mjomba una ma-ideas mengi. Inaonekana huko mkuranga kuna neema.
 
UKISHINDWA LA MAZIWA

=> FUNGUA DUKA LA NGUO ZA WATOTO UMRI WA MIAKA 0 - 4, NA VIFAA VYAO KAMA PAMPAS,MIDOLI, HIZI NGUO ZINA WATEJA KIBAO,
=>WATOTO HUZALIWA KILA SIKU
=>WATOTO WA KWANZA KTK FAMILIA HUNUNULIWA NGUO HATA BILA BUDGET
=>WANAUME UNAWEZA MPIGA BEI YOYOTE, KWANI WANAUME HAWANA UTAMADUNI WA KUNUNUA NGUO ZA WATOTO MARA KWA MARA.

=> Angalizo usifungue duka la nguo za watoto vichochoroni
=> FUNGUA sehemu ZA MIJINI, KARIBU NA HOSPITAL ZA MKOA AU WILAYA, nk

hiyo idea nimeipenda mkuu..ngoja niifanyie kazi!!
 
masamchris dah asante sana mkuu, ila kusafirisha maziwa si yanaweza kuharibika mfano kama unataka kuuza fresh iliyochemshwa! Pia usafiri unapatikana 24/7 ? Pia je maziwa huko ni ya uhakika 100% ? Samahan kwa maswali mengi ila naomba majibu yake
 
Last edited by a moderator:

=> USAFIRI UPO WA UHAKIKA MWAKA MZIMA,
=> KUHARIBIKA HAYAHARIBIKI KWA KUWA HUWA WANAKAMUA KUANZIA SAA 10 usiku mpaka saa moja au saa mbili kasoro YANAFIKA MBAGALA
=> KUMBUKA YAKISHAFIKA HUWEKWA KWENYE FRIJI ILI YASIGANDE, AU KUYACHEMSHA YOTE NA KUANZA KUSAMBAZA KWA MAHOTEL NA MAMA NTILIE AU CAFE
=> Maziwa yanapatikana mwaka mzima, huku kuna wasukuma wanamifugo mingi sana,
=> ULIZA SWALI JINGINE KAMA UNALO
=>
 
Last edited by a moderator:
Wanajamii mie nimebahatika kupata hicho kiasi cha hela ila sijajua nifanyie biashara gani kwa hapa Dar ambayo itakuwa inazalisha vizuri zaidi? Mwenye idea naomba anijuze

Fanya biashara moja ya Cash Marketing (Tsh to Forex) hapa Dar...piga 0767011406 nikupe proposal.
 
=> USAFIRI UPO WA UHAKIKA MWAKA MZIMA,
=> KUHARIBIKA HAYAHARIBIKI KWA KUWA HUWA WANAKAMUA KUANZIA SAA 10 usiku mpaka saa moja au saa mbili kasoro YANAFIKA MBAGALA
=> KUMBUKA YAKISHAFIKA HUWEKWA KWENYE FRIJI ILI YASIGANDE, AU KUYACHEMSHA YOTE NA KUANZA KUSAMBAZA KWA MAHOTEL NA MAMA NTILIE AU CAFE
=> Maziwa yanapatikana mwaka mzima, huku kuna wasukuma wanamifugo mingi sana,
=> ULIZA SWALI JINGINE KAMA UNALO
=>

Nipe namba yako mkuu.ntakutafuta kwa consultant
 
Masamchris Nina shamba bigwa mbele ya mkuranga ni kama Mwaka Wa tatu toka nimelinunua sijalifanyia chochote naomba nijulishe kuhusu kilimo cha matikiti
 
Masamchris Nina shamba bigwa mbele ya mkuranga ni kama Mwaka Wa tatu toka nimelinunua sijalifanyia chochote naomba nijulishe kuhusu kilimo cha matikiti

KILIMO CHA TIKITI hustawi vizuri sehemu za bondeni, kwakuwa maji yapo juu juu, (water table ipo juu)

=> TIKITI NI MAJI NA DAWA KWA WINGI, lazima eneo lako liwe na maji ya kutosha, maana TIKITI HUNYESHEWA KILA SIKU,
=> TIKITI LIKISHATOA TUNDA UKUBWA WA NGUMI HUNYESHEWA ASUBUHI NA JIONI
=>TIKITI LILILOKOSA MAJI HUZAA MADOGO MADOGO KIUMBO, NI HASARA KWA MKULIMA
=> PIA HUHITAJI DAWA TOFAUTI TOFAUTI KILA BAADA YA SIKU 4, HII HUZUIA WATUDU KUKATA MCHE, AU MAUA AU KUTOBOA/KUOZESHA TUNDA
=>BUSTA PIA NA MBOLEA YA WANYAMA NA KIWANDANI HUHITAJIKA
=> ULINZI YANAPOKARIBIA KUVUNWA SIKU 5 KABLA YA KUVUNA, KUNA WATU WANAIBA/WANAVUNA KAMA KWAO KWAKUWA WANAJUA SOKO LIPO
=> USIMWAMINI MFANYAKAZI HATA KIDOGO KATIKA KUNYESHEA
=> UKITAKA MATUNDA MAKUBWA LAZIMA UNYESHE MAJI YA KUTOSHA NA MBOLEA YA KUTOSHA
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom