Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

1: UZA LAPTOP, PHONE ACCESORIES, MEMORY CARD, FLASH, STATIONARY MATERIAL, HAZIITAJI OFISI, OFISI NI WEWE MWENYEWE

2: BIASHARA YA MAZIWA, NAKULETEA MAZIWA MPAKA MBAGALA-RANGI TATU, KWA 1400/= per litre, we ukauze kwa mamantilie, CAFETERIA ZA CHUO, CAFE ZA MTAANI, kwa jumla 1600/= UNAWEZA PATA LITA HATA 100 HATA 200 KILA SIKU, MAZIWA ORGINAL, HAYAJACHAKACHULIWA HATA KIDOGO 0757476106

3: FUNGUA M-PESA, TIGO-PESA, AIRTEL MONEY ONGEZEA USAJILI WA LINE ZA SIMU, NA KUUZA PHONE ACCESORIES HUTAKOSA 10000/= MPAKA 15000/= KWA SIKU kwa hapa mjini line za voda tigo pesa ni 120,000/=MPAKA 150,000/=

4: NUNUA SHAMBA KISARAWE AU MKURANGA KWA LAKI 7 ACRE MOJA MIAKA KUMI IJAYO UTAUZA MILIONS OF MONEY

mkuranga IPI ina shamba la 700000??
 
1: Uza laptop, phone accesories, memory card, flash, stationary material, haziitaji ofisi, ofisi ni wewe mwenyewe

2: Biashara ya maziwa, nakuletea maziwa mpaka mbagala-rangi tatu, kwa 1400/= per litre, we ukauze kwa mamantilie, cafeteria za chuo, cafe za mtaani, kwa jumla 1600/= unaweza pata lita hata 100 hata 200 kila siku, maziwa orginal, hayajachakachuliwa hata kidogo 0757476106

3: Fungua m-pesa, tigo-pesa, airtel money ongezea usajili wa line za simu, na kuuza phone accesories hutakosa 10000/= mpaka 15000/= kwa siku kwa hapa mjini line za voda tigo pesa ni 120,000/=mpaka 150,000/=

4: Nunua shamba kisarawe au mkuranga kwa laki 7 acre moja miaka kumi ijayo utauza milions of money

au banda la chips nyakati za jioni anakomaa mwenyewe
na vipande vya kuku
humo humo chuoni
 
mkuranga ipi ina shamba la 700000??

mashamba ya laki 700,000/= mkuranga yapo kibao nje ya mjini km 20 toka hapa mkuranga mjini bupu, mbezi kimanzichana ndani, kisiju kuna sehemu nyingine wanauza hadi 500,000/= ndani ndani watu huku ndo wanalima matikiti na ufuta kibao
 
Tafuta point tatu bet utapata Ml3 afu tafuta tena tatu bet milioni mbili utapata sita, afu tafuta odds tatu bet ml5 utapata milioni 15+2=17 .million kumi na tano itatosha business na unabakiwa na ml2 unaendelea kubeti. Hili ni jambo la wiki moja tu ukiwa makini

Duuh hii kiboko
 
Kama unapenda biashara tafuta sehem ya fremu nzur ya wastan na yenye nafasi kubwa kidogo kwa nje fungua duka la vifaa vya pikipiki tafuta na fund awe anatengenezea kwenye hio nafasi ya nje. Kwa kuanzia hicho kiasi kinatosha kabisa
 
Kama unapenda biashara tafuta sehem ya fremu nzur ya wastan na yenye nafasi kubwa kidogo kwa nje fungua duka la vifaa vya pikipiki tafuta na fund awe anatengenezea kwenye hio nafasi ya nje. Kwa kuanzia hicho kiasi kinatosha kabisa

location je?
 
Naombeni ushauri nina milion 5 naweza kuzifanyia kitu gani kwa mda mfupi ikazalisha or naomben mnipe ideal ya b'ness

Fungua duka la reja reja uza
vitu vinavyotumika kila siku hasa vyakula, vinywaji ,sopu ,betri,mafta taa,mshumaa,condom :poa
Hutajuta
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom