Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

Nicheck Hapa 0655660044, sisi tuna kitengo cha kushauri watu wenye mitaji wasio na aidia za biashara,.. ni bure
Na kama upo Dar nitakuelekeza ofisi zetu ututembelee, kama upo mbali tutakupigia simu
 
wadau habari zenu nipo tanga naombeni ushauri wenu nina frame ya duka ipo sehemu nzuri ila sijui biashara gani nianzishe kwa capital ya 2ml.hapa nimezungukwa na maduka ya madera na spare za magari na pikipiki,migahawa na tigopesa
 
lakini pia nina elimu kidogo ambayo lbda kama nitapata muongozo naweza anzisha ofisi labda..nina masters ya international business
 
Mimi nafanya biashara ya kusuply material ya afya na tibalishe kama utaipenda au utataka kujifunza zaidi tuwasiliane 0763797853
 
Ipo biashara ambayo waweza fanya kwa muda wako wa ziada kwa huo mtaji ikakupeleka mbali kama utaipenda
 
Wadau habarini rejea kichwa cha habari hapo juu naitaji kuanza business ila sina idea business gani nianze mtaji nina 1m tsh naombeni mnishauri
Cathsimon Biashara ya mtandao pia ni biashara ya kisasa ambayo waweza anza kwa mtaji kama Huo.Kikubwa ni utayari wako na uwe mtu utakayependa kujifunza maana mfumo wake ni tofauti na biashara tulizozizoea.Kama unapenda kujua zaidi njoo PM
 
Last edited by a moderator:
kwa hitaji biashara ya
-mitumba
nauza kwa jumla
-vifaa vya ujenzi
vipo kwa jumla
-vyombo vya ndani vipo kwa jumla
-simu/phones/power bank zipo
kwa jumla
-tvs brand mpya zipo
kwa jumla
-welding machine
kwa jumla
natoa na mkopo wa bidhaa
office zangu zipo kinondoni b
call 068242975 / 06549410
email-edonisaya@gmail.com

 
Habari zenu wana JF.?

Nimekuja kwenu kuomba ushauri wa kitaalam mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) .

Nimejichanga boom nimepata mtaji wa mil 1 nimejaribu kuwaza ni biashara gani nifanye ntakayoweza kumudu huku nikiendelea na masomo yangu chuoni ila sipati jibu sahihi zaidi.

Naombeni ushauri wapendwa.
 
1: UZA LAPTOP, PHONE ACCESORIES, MEMORY CARD, FLASH, STATIONARY MATERIAL, HAZIITAJI OFISI, OFISI NI WEWE MWENYEWE

2: BIASHARA YA MAZIWA, NAKULETEA MAZIWA MPAKA MBAGALA-RANGI TATU, KWA 1400/= per litre, we ukauze kwa mamantilie, CAFETERIA ZA CHUO, CAFE ZA MTAANI, kwa jumla 1600/= UNAWEZA PATA LITA HATA 100 HATA 200 KILA SIKU, MAZIWA ORGINAL, HAYAJACHAKACHULIWA HATA KIDOGO 0757476106

3: FUNGUA M-PESA, TIGO-PESA, AIRTEL MONEY ONGEZEA USAJILI WA LINE ZA SIMU, NA KUUZA PHONE ACCESORIES HUTAKOSA 10000/= MPAKA 15000/= KWA SIKU kwa hapa mjini line za voda tigo pesa ni 120,000/=MPAKA 150,000/=

4: NUNUA SHAMBA KISARAWE AU MKURANGA KWA LAKI 7 ACRE MOJA MIAKA KUMI IJAYO UTAUZA MILIONS OF MONEY
 
Biashara ya mtandao ndo biashara ya kisasa ambayo unaweza an za na huo mtaji baada ya muda ukawa mtu wa tofauti kabisa
 
Tafuta point tatu bet utapata Ml3 afu tafuta tena tatu bet milioni mbili utapata sita, afu tafuta odds tatu bet ml5 utapata milioni 15+2=17 .million kumi na tano itatosha business na unabakiwa na ml2 unaendelea kubeti. Hili ni jambo la wiki moja tu ukiwa makini
 
Back
Top Bottom