Mtaji miioni 60 naweza kufanya biashara gani?

Nimeshangaa sana kuona kwamba unakopa then unaogopa kusimamia mpango wako ulouplann toka mwanzo : hata tukushauri vip lazima utaogopa ushindani : hakuna biashara isiyo na ushindani : Njia rahisi ya kukusaidia ili uweze kulipa pesa za watu labda ujaribu kununua hisa : nahofu kutoa mawazo yangu kwakua ushanionyesha udhaifu kwa ulo panga mwanzo.
 
Back
Top Bottom