Mtaalamu wa Kuanzisha FM radio Statio antafutwa!

qq.com

JF-Expert Member
Jan 9, 2012
367
123
Wale wajuzi wa masula ya kuanzish radio station
Mjomba wangu anataka kuanzisha radio katika moja ya mji nchini tanzania9not dar) fedha alizopanga ni ---- milion.

sasa mtaalamu anahitajika
atatakiwa kueleza yanayohitajika na masuala yote ya propsals nk

atatakiwa kuwasilish mapangilo hadi kupatikna kwa radio huku akieleza mud ahadi kuwa hewani

mengine tuwasilane kupitia hapa

qq.com@hotmail.co.uk
 
Mkuu,
Nimetagiwa tu hii post nikawa nimeiona! Kwaharaka haraka mimi ndo kazi nazofanya kwa sasa. Naweza kukusaidia project yako A-Z na pia nina exeperience na hata watu wamamlaka----wengine nafahamiana nao. Na ninaweza kukushauri hata sehemu ya kuanzishia radio.

Mfano ukitaka kuanzisha radio yenye coverege ya KM45 za mraba unahitaji kama Tshs mil 18. Utapata kila kitu vifaa vyote, na transmitter.

Masuala ya majengo/studio na wafanyakazi ni madogo madogo sana. Yani kwa ujumla hiiinshu ni ndogo sana. Kama unatafuta mtu huyo mimi nipo uniachie consultancy yote kwa $...... tutaelewana wawili. Nipigie hapa: 0654634163.

Mimi naweza kukuandikia proposal yoote kabisa bila shida.

Kazi ni kwako!

Kampuni yetu inaitwa: In A Box Innovations kutoka Australia hapa East Africa mimi ni Agent. Hizi ndo shughuli tunzofanya. Inshu ndogo sana hii mkuu.
Mfano tunaweza kusuplly vifaa vyote vya radio kwa $17,000/= ikiwa ni pamoja na Transmitter yenye uwezo wa kusikika 45Km za maraba. Studio mbili n.k Kazi ni wako my mail nipm.
 
Back
Top Bottom