Mtaalamu wa garden za nyumba

Mutensa

JF-Expert Member
Feb 20, 2009
421
90
Natafuta mtaalamu wa ku-design na kutengeneza garden za nyumba. Kama una utaalamu huo nirushie contacts zako kwa PM. Pia unaweza kupost hapa kwa manufaa ya wanaJF wengine wenye kuhitaji huduma kama hiyo.
Jamani nyumba ni garden bana ... au sio wanajamvi!!!
 
Oh samahani wakuu nilielewa vibaya swali la EJM.
Hii kazi iko dar es salaam, tanzania.
 
Back
Top Bottom