Dr. Nna vipele vdogo vdogo vmezunguka kwny ringi ya uume wangu. Nn tatzo
Dk HAKUNA VITAMIN UNATAKIWA KUNYWA NAYOI
Na Dawaza provirone she ngapii Za mweziii
Sasa unanishaurije daktari! Nifanye nini ili niweze kuwa sawa...yaani kubalance hormones zangu! Ushauri wako plz Doc!Sijawahi kusikia hiyo dawa. Hizi dawa za mitishamba hakuna uthibitisho yake.
Doc kama nilivyoeleza awali, nina tatizo la hormonal imbalance, nimeambiwa hospital kwamba hormones zinazohusika na kukomaza mayai ziko chini, hivyo mayai hayakomai, na tena nina ovarian cyst katka ovary ya kushoto, nimekula dawa lakini siponi, nami nataka mtoto wa pili! Nifanyeje sasa, au nitumie dawa gani kuondosha hiyo ovarian cyst na pia kubalance hrmones, ili nizae nina hamu mno na kuzaa!Sijawahi kusikia hiyo dawa. Hizi dawa za mitishamba hakuna uthibitisho yake.
Doc kama nilivyoeleza awali, nina tatizo la hormonal imbalance, nimeambiwa hospital kwamba hormones zinazohusika na kukomaza mayai ziko chini, hivyo mayai hayakomai, na tena nina ovarian cyst katka ovary ya kushoto, nimekula dawa lakini siponi, nami nataka mtoto wa pili! Nifanyeje sasa, au nitumie dawa gani kuondosha hiyo ovarian cyst na pia kubalance hrmones, ili nizae nina hamu mno na kuzaa!
Kuna madaktari walinishauri nifanyiwe operation kuondosha hiyo ovarian cyst, again kuna baadhi ya madaktari wanakataa wanasema haina haja ya operation, sasa nipo njia panda, nisaidie ushauri wako nitauthamini
Nina tatizo la allergic condition ,ninawashwa sana maeneo ya kinywani,masikio na macho.nisipokunywa kitu cha moto kama chai hali hiyo inanisumbua hasa kwenye tezi zilizo kinywani taya la chini,napewa dawa za mzio lakini zinatuliza tu,baadae hali inaendelea vivyo hivyo.
Docta nini dawa kwa MTU anaenuka mdomo
Dr. Mtoto anasumbuliwa na vijipu uchungu vinatoka Na kurudi nini tiba yake hasa kipindi hiki cha joto.
Doctor habari yako na pia pole kwa majukumu lakini pia pongezi kwa kusaidia bin adam wenzako katika kujaribu kutatua matatizo yao ya kiafya.
Doctor naomba kuuliza kuna ugonjwa nimesikia unaitwa BLOOD CLOTTING, doctor huu ugonjwa husababishwa na nini na pia ni ipi tiba yake?.
Dr .habar yako ? mke wangu anatatizo la kukosa usingizi. Ktk usiku mmoja saa 4 had saa 12 asubuh analala masaa mawili na kuamka na hukosa usingiz kabisa baada ya hapo had asubuh. Tatizo ni nini na ipi tiba?
Ahsante sana Daktari wetu mpendwa, kwa jinsi ninavyokuamini nimejikuta napata matumaini makubwa nitakwenda kuonana nae na nitakuletea mrejesho. Ahsante saaaanaaa, May God enlight your ways everyday!!Kuna Daktari Bingwa wa wanawake anaitwa Dr. Josephine - Hospital ya Sanitas iliyopo Mikocheni, Dar Es Salaam. Atakupa ushauri nzuri. Baada yakufanya Ultrasound atakuambia kwamba kuna haja ya kufanya procedure ya "drilling" au dawa kama "clomiphene" na "duphastone" yatatosha.
Lakini hii clomiphene nimeshatumia saana to no avail....labda hiyo nyingine...duphastone....anway the Doc will tell me! Thanks once again!Kuna Daktari Bingwa wa wanawake anaitwa Dr. Josephine - Hospital ya Sanitas iliyopo Mikocheni, Dar Es Salaam. Atakupa ushauri nzuri. Baada yakufanya Ultrasound atakuambia kwamba kuna haja ya kufanya procedure ya "drilling" au dawa kama "clomiphene" na "duphastone" yatatosha.