Dr mimi ni mwanamke wa miaka 39 nimetolewa kizazi mwaka juzi na sina tatizo ila swali langu ni; sehemu ya juu ya mdomo chini ya pua kumetokea rangi nyeusi mfano wa ndevu za kiume au mustache. sasa swali langu ni je hii alama inaashiria tatizo gani ndani ya mwili? na je dawa yake ni nini?