Mtaalamu wa Corporate Finance and Lawyer

Mhafidhina

JF-Expert Member
Feb 6, 2008
549
22
Wanajamii...!

Najileta kwenu nikitafuta kazi kwenye banking sector. Mimi ni mtaalamu wa Corporate Finance (Debt and Equity), Sharia Finance (Islamic Banking) lakini pia mimi ni Mwanasheria. Ninauzoefu wa kazi mwingi nilioupata nje ya nchi nilipokua nimeajiriwa.

Kwa sasa po Tanzania na natafuta kazi haswa on Banking sector or any Law firm inayofanya mambo kama hayo.

Naombeni msaada wenu kama mnafahamu Bank/Law Firm inayohitaji utaalamu huu.

Just PM me.
 
Nenda Malaysian Bank iko kisutu ...wanaweza kuhitaji mtu mwenye ufahamu wa sharia law..katika benki yao...just try.
 
Back
Top Bottom