Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 8,935
- 6,844
Mziwanda, sababu zake za kutetea amezitoa nami kama yeye sioni kama anachotetea kuwa ni ujinga. Bali maelezo yanaoonesha ukweli wa mambo kuwa, pale tunapokubali Mafuta house kubadili jina, au Old Bagamoyo Rd kuitwa jina jingine, ni criteria gani zinafuatwa mpaka mabadiliko hayo yanakubaliwa as opposed kwa kubalishwa jina la huo mtaa hivi karibuni?
Benjamin anahusiana nini na ghorofa? Angalau kwenye huu mtaa kumejaa misikiti ya kwao. Ni sehemu ya identity yao. Au tunataka kusema kuwa hawa si sehemu ya jamii yetu?
Amandla.........