Mtaa gani apewe Dr.kikwete?

Naona memberz JF siku hizi tumekosa cha kujadili!
Kwa fikra hz nchi itaendela kuwa masikini tu!
Kama kila senti itokanayo na jasho letu mwajilimbikizia....unachokisema uko right.
 
Kama kila senti itokanayo na jasho letu mwajilimbikizia....unachokisema uko right.
Acha kulia lia..tumia resources na opportuinities zilizopo ujikwamue! Tafuta na wewe njia ya kujilimbikizia, siyo kulalama tu
 
Naona memberz JF siku hizi tumekosa cha kujadili!
Kwa fikra hz nchi itaendela kuwa masikini tu!

Kwa kuwa wewe unaonyesha wazi uko gizani tutakupatia kale kamtaa kanakopita kutokea Mtaa wa Lugalo hadi A.H.Mwinyi Road pale Palm Beach... Tutakaita Nape Ma-Gold Close...
 
Nilimsahau Baba Mwam-WAR & Mwezi wa kwanza... ile ya Kutokea Kigogo kupita TABATA DAMPO hadi kwenye Mataa ya TABATA itamfaa... Hongera MA-ROPES...
 
Rejao unaonaje ile barabara ya makanya/popobawa ikapewa jina lako mkuu
 
Rejao unaonaje ile barabara ya makanya/popobawa ikapewa jina lako mkuu

Umempa Kichwa huyu Rejao...au tumpe kale kamtaa ka mbao kanakoanzia Bonde la MKWAJUNI Kawawa Road,kuelekea kushoto ukitokea Magomeni Mapipa... kaitwe Rejao CCM fly~over
 
Apewe barabara ya kuingia nyumbani kwake kunaitwaje sijui huko chalinze.
Hapa mjini hamna mtaa wake, ila mashindano ya umiss tuyaite alhaj dr jk miss tz. Itakua kumbukumbu nzuri tu
Kibukuasili, alhaj na vichupi tena! utaacha BAKWATA waandamane bure! kwa kuhusisha cheo cha dini na vichupi.
 
Kuna ule utokeao Sinza Mori Shekilango Road hadi Police Mabatini ule uitwe Amina Chifupa Road...
 
Jambo wana JF... baada ya kumaliza karibu majina yote ya watu mashuhuri kwa Mitaa na Barabara hapa BONGO nawaomba tufunguke kuhusu Mtaa/Barabara tumpatie ******? Ndg.B.Mkapa tume-reserve Morogoro road... Hivyo tusahau hiyo...
Mimi napendekeza Barabara ya ipitayo Tandale Uzuri...kutokea Sinza Kijiweni hadi Magomeni kanisani... sifa ya kwanza ni ndefu na ni pekee ambayo haina jina rasmi...toa maoni yako bila jazba...

Apewe jina la VITUNGUU, jina la mtaa maarufu Mwanza kwa changudoa wa bei nafuu kujiuza
 
Acha kulia lia..tumia resources na opportuinities zilizopo ujikwamue! Tafuta na wewe njia ya kujilimbikizia, siyo kulalama tu

we kubwa zima lakini..... kujilimbikizia kunaendana na kuwaibia wengine. hivyo usihalalishe wizi na uonevu wa kipato cha wanyonge
 
Kule Tanga tutampa Usagara Mabangi. tutaondoa Usagara tuweke JK, mabangi itabaki.
 
huyu si ana ile jk mzee wa suti 5 record tusimpe mtaa labda ule wa kwa bibi anapoendaga msoga
 
makaburi ya mwinyi mkuu pale magomeni mapipa, paitwe kikwete cemetry (makaburi ya kikwete) naomba kuungwa mkono!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom