Mt Meru,Arusha University,Makumira,AIA(Uhasibu) Tujiandae kwa Mgomo wa Pamoja.

kinganola

Senior Member
Aug 16, 2011
117
30
Taarifa zilizo rasmi toka Heslb,kufikia Alhamisi wiki hii,watakuwa wamesha wapatia wanafunzi wote wa Kanda yetu pesa zao za mkopo,Wasipo fanya hivyo,Tujiandae kwa mgomo mkubwa utakao ifikishia serikali ujumbe siku yoyoye kuanzia Jumatatu ya terehe 6 November.
 
Nasikia Shukuru Kawambwa atakua kwenye mahafali ya saba Mount Meru University Jumamosi tarehe 5. I think ndio siku nzuri ya kumpata na kumwambia uhitaji wenu wa mikopo
 
Taarifa zilizo rasmi toka Heslb,kufikia Alhamisi wiki hii,watakuwa wamesha wapatia wanafunzi wote wa Kanda yetu pesa zao za mkopo,Wasipo fanya hivyo,Tujiandae kwa mgomo mkubwa utakao ifikishia serikali ujumbe siku yoyoye kuanzia Jumatatu ya terehe 6 November.

Shida yenu nyie vijana wa Arusha huwa mnaweza muahidi mambo ambayo hamuwezi kuyatekeleza,...
Mimi kwa upande wangu huwa napenda sana Migomo kwani ndiyo inayonifanya nisome kwa amani bila wasisi wa mambo ya Fedha, hivyo basi fanyeni mfayavyo mhakikishe ya kwamba mambo mnayoyaahidi mayatekeleza na bahati nzuri Geographia ya huo mji wa Arusha imekaa vizuri sana pamoja na vytuo vyenu, So i bag u plz nendeni mkagomeeeeeee!!!!!
 
Ila 2 usiwe ni mgomo wa kupasua vioo vya madarasa.othrwise,all the bst in ur mgomo.
 
Back
Top Bottom