Mt Kilimanjaro, Kenya

mtatifikolo

Member
Feb 9, 2008
43
7
Uzalendo pembeni. Watani wetu wa jadi wana taswira nzuri ya mlima wetu.


Fresh snow covered Mount Kilimanjaro seen at sunrise from Ambuseli game reserve in Kenya, May 04, 2008. (MLADEN ANTONOV/AFP/Getty Images)
 
Hili wazo la mtani wa jadi lilianzia wapi? Mboni sioni utani wowote wa jadi?
 
Siku hizi wanasema , Mount Kilimanjaro is in Tanzania but the best View is from KENYA.
 
Unaonekana uko karibu best ila kufika hapo ni safari tena lazima kuaga, kuhusu wakenya kuutaja nadhani ni lugha tu ya biashara. Mamtoni celeb mmoja akiingia mgahawani wanaweka tangazo nje ili watu wengi waingie na bei ya vitu inapanda utadhani atawanunulia, so kuutaja mlima it is but business kama wanaweza waambie waupande kupitia huko Amboseli!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom