MartinDavid
JF-Expert Member
- May 22, 2009
- 874
- 144
Hata kama ni mila na desturi, sasa hii ni mbaya zaidi ya!!! wewe wake 50 na bado kila mwaka anavuta mmoja atafikia wapi!!
Hata Mungu hapendi, tena kuna mmoja kati ya wake wa huyu jamaa keshatoroka zake na uko UK!! hata huyu naona tuu aruhusiwe kuondoka zake na huyu jamaa kama hana mke basi ajitwalie, Wife yuko bomba mbaya hata kama ni mimi simuachi!!!!