Mswati aibiwa

Ncha

JF-Expert Member
Jul 8, 2008
254
24
Scandal as 12th wife of Swaziland king is caught with married lover

Swaziland Justice Minsiter Ndumiso Mamba (left) is in jail on the orders of King Mswati III after allegedly having an affair with the monarch's 12th wife, Mswati Nothando Dube ( Did he not bother to read about the Makamba/Grace saga)

The 12th wife of the king of Swaziland is under house arrest after she was allegedly caught in a sting with her lover.

Former Miss Teen beauty contestant Mswati Nothando Dube was reportedly discovered in the arms of the countrys Justice Minister by police at a hotel in the town of Mbabane.

The 22-year-old has been placed under surveillance at her mother-in-laws home while her alleged lover, married Ndumiso Mamba is in jail on the kings orders, The Independent reported.
King Mswati III is currently away on a state visit to Taiwan.

His mother, who shares his power, is known as the Indlovukazi, or Great She-Elephant, and has sent a delegation to Mambas village to lay charges of trespassing into her sons home. Mamba is know to have been a close friend of the king and could face the death sentence if the charges are proven.
Dube became involved with the king at the age of 16 when she took part in the annual Reed Dance, which features tens of thousands of topless Swazi virgins performing for the monarch.

The mother-of-two could be banished from the kingdom if the charges are proven.
 
Hahahah ..... Ila jamaa Mamba m-handsome lazima Fisitiledi wa mfalme aingie kingi na hasa kama zamu yake ilikuwa bado na muda mrefu umepita!!
 
Nani kamtuma aoe wanawake wengi? Acha tu marafiki zake wa karibu wamsaidie!
 
Duh! King Muswati kazi anayo. Sasa na huyo mheshimiwa atakufa kwa ajili kudandia mbunye za watu? Shame on him!
 
article-1299884-0AAC5ACD000005DC-192_468x546.jpg


Mh hata kama nn mimi hapo Mswati angenisamee tu uh!!:help:
 
Hizi ni ajali za kawaida sana kwa official and unofficial polygamists.
Kujilimbikizia wanawake wenye emotional needs huku ukijua kabisa huwezi kuwatimizia usitegemee divine intervention.

Ila huyu aliyeamua kula sahani moja na mfalme alijiaminisha sana! Sijui kama alifanya tathmini ya risk...
 
Ila mswaki.... OOOOPS!!!!!!! Mthwathi...AAAARRGHHH... Mfalme .. anajua kuteuaaaaaa... au vipi marijali wa JF!!:love:
 
article-1299884-0AAC5ACD000005DC-192_468x546.jpg


Mh hata kama nn mimi hapo Mswati angenisamee tu uh!!:help:


mi kila nikifkiria wale 'watoto', naona inabidi tu iwepo petition huyo jamaa aachiwa apumzike kwa amani manake hajafanya kwa 'makusudi'....nani angekataa temptation ya hivyo? Nina uhakika hata mkewe ameshamsamehe na sasa Mswati should emulate her...
 
Huyo mama mswati mrembo kweli kweli..labda huduma muhimu anapata mara moja kwa miezi sita ha ha ha
 
ili jamaa Mswati linajua kuchagua sio mchezo wake zake wote ni wazuri kupita kiasi dah ila sijui anaweza vp kuwatosheleza hawa mabinti wote alionao maana inabidi uwe na nguvu za jogoo si bure wacha wengine wamsaidie ingawa adhabu ya kifo kwa huyo mgoni ni kubwa sana
 
ili jamaa Mswati linajua kuchagua sio mchezo wake zake wote ni wazuri kupita kiasi dah ila sijui anaweza vp kuwatosheleza hawa mabinti wote alionao maana inabidi uwe na nguvu za jogoo si bure wacha wengine wamsaidie ingawa adhabu ya kifo kwa huyo mgoni ni kubwa sana

nadhani wataiwaive.......haiwezekani bana....hivi inakuwaje kama binti anayechaguliwa anakuwa tayari ana mchumba?
 
nadhani wataiwaive.......haiwezekani bana....hivi inakuwaje kama binti anayechaguliwa anakuwa tayari ana mchumba?
si uwa nasikia kuwa lazima akate utepe (uzi) mwenyewe? sasa hapo huyo binti mchumba aliyekuwa nae alikuwa wa kinguo nguo tu?
 
si uwa nasikia kuwa lazima akate utepe (uzi) mwenyewe? sasa hapo huyo binti mchumba aliyekuwa nae alikuwa wa kinguo nguo tu?

hahaha mpwa si unaanzaga wa kiunguo nguo kwanza ndo unadevelop kwenye kumegana ...I mean tuassume kuwa binti anakuwa ammefeel mtu mwingine ila haja do ze nidiful
 
Wewe mwanamke bado mdogo hivyo just 22, very active eti asubiri King apitie wote 11 naye aweze kupata ile chakula ya jioni, si kwa mwezi mara moja au la. Kwa nini asijivinjari na watu active??? King must be reasonable and just....tena ukizingatia msichana mwenyewe ndo alikuwa celeb --miss fulani. Loooh not now king must change...
 
kama hawezi kuwapa kile kitu roho inataka kwa nini wengine wasimsaidie? wanawake wote hao atawezaje kuwaridhisha maana na wao wanahitaji kuridhishwa baannnaaa
 
Du waheshimiwa naomba hapa tusaidiane, maaa kwangu haingiii akilini hata kidogo. Wanawake 50 utawamega vipi? hata kama wewe ni kidume labda kwa siku unaweza kumega watatu, lakini je can you do that everyday for a month, for a year kwa maisha yote ya ndoa? Kweli inawezekana?

Kina dada tunaomba mtuambie mwanamke anapoamua kuolewa na mwanaume kama huyu mwenye wake 49 anafikiri nini?

Du utamaduni wa waswazi unafurahisha sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom