mswada wa katiba mpya

ikizu

JF-Expert Member
Oct 26, 2011
431
56
Ndugu zangu naombeni mnisaidie kupata nakala ya mswaada wa marekebisho ya katiba wa kiswahili uliopitshwa juzi. kuna moja nimeuona lakini hauonekani vizuri na ni vigumu ku uprint tafadhalini kwa usumbufu
 
Kama wana jf hatunaayo nakala yake hadi sasa je Watanzania waliowengi hasa vijijini watakua wanafahamu nini humo?????
 
poa maana nilitaka niutoe copy ili niwape wanafunzi wangu na jamaa zangu wapenda maendeleo na walio na uchungu na nchi hii.
 
ndiyo silaha ya ccm ya kukubana usiupate maana ukiupata utajua maovu yao
 
Back
Top Bottom