Mswaada wa katiba na umbumbumbu wa bunge wa CCM

Gaza

Senior Member
Nov 3, 2010
102
8
Wabunge wa CCM wanataka kutupeleka tusipo taka inaonekana hawana haja na katiba mpya ndio maana kila anae changia hajikiti kwenye mswada mda wote umepotea kumjadili Tundu Lisu kwa bahati mbaya wabunge wengi kwa uelewa mdogo wameshindwa hata kumuelewa alicho mainisha kwa mfano alitaja uraisi wa kifalume hakumtaja kikwete na family yake akaitaja Zanzibar inaingia kwenye mchakato kama nchi tanganyika ina wakilishwa na nani? Kama tunataka katiba mpya itakayo kubalika na watu wa kada zote
 
Hapo kwenye RED mkuu, unajua wengi wao wamejaza u-masaburi kwenye vichwa vyao kiasi kwamba hata wapigwe nyundo vipi uelewa hauwezi kupatikana! lol
 
Mmemsusia fisi bucha mnategemea nini? Jamaa mkomae nao humo humo mjengoni, wakichukua moja moja wataachia tu.
Lakini kuuza magazeti na kujaza thread mnawapa nafasi ya kujipanga tena. Dr. Slaa alikuwa mwiba mjengoni
 
Lisu ni mwanasheria professional anaposema mambo kuhusu "constitution" anajua undani wake. ingawa najua kuwa kuna wakijani ambao nao ni wanasheria. lakini wanabisha tu uhalisia kwasababu ya ukijani wao. Kwa maana hivyo wanakiuka "professional ethics".
 
Back
Top Bottom