Msuli wa udsm ,sua,na mucco usipime

inaonekana vyuo hivi vinaubora kwani wanafunzi wanakazi ya ziada ktk kuhakikisha wanapata GPA zenye ubora pia sapu na disco zipo nje .so tusome huku tukimweka mungu mbele.

thread yako imekaa kimatangazo zaidi,we unauhakika gani kama hvyo vyuo vingine hayo mambo hayapo? Pia,umefanya uchunguzi gani kubaini hvyo vitu kwenye vyuo 3 tofauti?
 
vyuo vyote wanafanzi wanasoma kwa bidii ,uzembe wa mtu ndio mavuno yake.sio chuo flani ndio kuna msuri ya kutisha.
 
sifa itawamaliza,yani mnaona wanafunzi kudisko makusudi kutokana na chuki ya malecture wao ni fahari?
cha kushangaza ni wengine kubaki kua tutorial na wao pia kuendeleza system ile ile ya uonevu.
 
inaonekana vyuo hivi vinaubora kwani wanafunzi wanakazi ya ziada ktk kuhakikisha wanapata GPA zenye ubora pia sapu na disco zipo nje .so tusome huku tukimweka mungu mbele.

tz tuna kazi kama tunaongelea system zilezile mbaya ya kiuonevu na za kudidimiza elimu ya tz
 
Poor post. Hakuna elimu bora kwenye hivyo vyuo labda sus kwa mbali. Tangia post 2000 vyet vimekua vinatoka kama njugu, alf hata msuli ni mdogo sana na starehe nyingi.
 
wanafunz mnaanza na ubaguzi wa dini zenu, vyuo mnavyoenda na makabila, hvi mnasomea nini huko vyuoni, shule mlizotoka? badilikeni
 
Back
Top Bottom