Msukuma katika elimu ya watu wazima

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,635
Mwl.alimsimamisha mwanafunzi wake mmoja na kuanza kumfundisha kiswahili kwa vitendo. Mlm sema ccm mwanafunzi: jiji njemu. Mwl:azimio la arusha mwanafunzi:lyazima lyalosha mwl:wewe mwanafunzi mjinga sana.mwanafunzi: nakanjinga onilema.mwl: hivi wewe una akili kweli? Mwanafunzi:nakibhila loshiko lumo doho amakili.mwl:hivi wewe unajua kweli hapa unasoma darasa la ngapi? Mwanafunzi: oniduma ahenaho nate wapi onene nalewapee kete twanike twa ntuzu.
 
joke la kikabila hilo........ngoja nim-PM mtu aje kunitafsiria fasta.
Twanike twa ntuzu getegete!!
 
joke la kikabila hilo........ngoja nim-PM mtu aje kunitafsiria fasta.
Twanike twa ntuzu getegete!!

uzaifu wa wanaume wa ntuzu ni twanike twapee=wasichana weupe.anaweza kutoa ng'ombe mpaka 80 zilizo shiba.teh!teh!
 
Onkima oyu ope zigi - mwanamke huyu mweupe sana. Azimio la arusha - Lyajima lwalosha (limezima lilikuwa likisaga). Matuta ya pamba - Yanduta yompanda(kamvuta kisha kamkanyaga) - chakula bora - shakulya n'iwilob'la.
 
Tukuyu, Pemba na Maswa= Tokoyo pemba na maswa= moto huu tutauchochea na majani
 
Mpuuzi sana wewe unajuwa wote humu wasukuma? watu kama wewe ndio nawatafuta niwatie adabu. Masaburi tu hayo.

weye wa kumaso hivi hilo domo lako chafu kama choo cha stendi ulilisi toka kwa nani kati ya bb au mm yko.?
 
Mpuuzi sana wewe unajuwa wote humu wasukuma? watu kama wewe ndio nawatafuta niwatie adabu. Masaburi tu hayo.

wewe unajua jf ipo kwa waswahili tu. We binti unakela sana kama kutazama samadi ya binadamu maana kila post inayowekwa wewe lazima jicho likutoke kama fundi saa kapoteza screws.ungekuwa wewe ni mwanangu ningekuoa mwenyewe kuhofia ukiolewa sehemu ingine naweza kutapishwa mahali kutokana na vurugu zako. Bwabwa wewe!!
 
Mpuuzi sana wewe unajuwa wote humu wasukuma? watu kama wewe ndio nawatafuta niwatie adabu. Masaburi tu hayo.

nadhani weye utakuwa umetumwa kuja kuwatia hasira member ili wapigwe pigwe ban mwisho wa siku wabakie mabinti.naahidi kufanya uchunguzi inawezekana mpo wengi kila jukwaa na mnapata posho ya kazi mnayofanya toka see!see! Emu!
 
Nimependa sana hiki kichekesho japo mimi si msukuma mimi mndali, nimefurahi sana naamini ntalala pia salama.

WAKUSOMA:Unastyle ya aina yake. huna tofauti na yule anayesemb Mi napita tu" Ni style yako
USHAURI:pUNGUZA /ONDOKA KABISA UKALI WA MANENO SI BUSARA KUWEKA MANENO YA MA*SI KWENYE JAMII HÍI.
 
kweli kabisa Watu hawakuwa na tabia ya kutukana ila huyu kidudu mtu yule mdudu wa kwenye kisamvu tangu kaja na haka katabia kake wamewafanya watu wawe jasiri na kutukana hovyo. Siku akija kupigwa mtu ban aliyosababisha huyu nyonda nitawachukia mods na jf kwa ujumla.maana hizi vurugu wanaziona sana mpaka mie nahic ametumwa na mod flani kuja kuchafua jukwaa au kuwa sababishia watu ban.nina mwaka sasa nikiwa member ndan ya jf sijawahi kumtukana mtu ila kwa huyu catapilla kanichefua mno.
 
Mpotezee wamwise! hatufai hata kubishana naye anatupotezea muda. Ngoja niwahi kwenye 'Chagulaga moja matata'.
 
Back
Top Bottom