Msondo ya TX William

Msondo waliharibu uimbaji wa TX,mimi napenda zile nyimbo alizoimba alipokuwa Polisi Jazz wana vamgavanga,hapo utasikia Moshi akiimba kwa sauti yake ya asilia ,tamu kama asali,pamoja na yote kifo cha Moshi ndio imekuwa kifo cha Msondo,RIP TX wote tupo kwenye mstari ,tunasubiri zamu ifike.
 
Back
Top Bottom