Msomi Chuo kikuu Dar arudi CCM.

Mumwi

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
592
122
Nimeona katika ITV mwanachuo alisema alihama ccm kutokana na ufisadi lakini kwa kujibu gamba ccm ameamua kurudi jamaa anatia Huruma maana wenzake walikuwa na kijani na njano. Yeye hata kakofia hana je wasomi mwalionaje Hilo?
 
njaa haimpendezi mtu.
Huyu jamaa kazidiwa njaa
 
Nimeona katika ITV mwanachuo alisema alihama ccm kutokana na ufisadi lakini kwa kujibu gamba ccm ameamua kurudi jamaa anatia Huruma maana wenzake walikuwa na kijani na njano. Yeye hata kakofia hana je wasomi mwalionaje Hilo?
 
Hivi ukifika tu chuo kikuu unakuwa msomi?
Naombeni mwongozo kuhusu maana ya neno msomi!!
 
Anaitwa Nani? maana usiseme msomi kumbe ki-mtu hakina hata credibility yeyote kwenye jamii, unakuta hamna hata mtu anayemjua zaidi mkewe na wewe mtoa hoja ndo maana unaona aibu kutaja hata jina lake
 
msomi tz manake nini?? mbona hata lipumba ni msomi tena profesa, wapo ma'dr PHd kibao CCM,
kuwa msomi haimaanishi kuwa muadilifu, ni uroho na ulafi tu ndo unaowatawala.
 
Kweli tupate muongozo wa maana ya msomi,
Ila yule jamaa "msomi" mbona alikuwa kama kaandaliwa? Nilimuangalia usoni. hata hajiamini, afu zaidi hawaja sema ametoka chama gani? na je kuna uhakika gani kama kweli alikuwa CCM na sasahv ndio ameamua kurudi tena?
CCM wanatunga story tu na waandishi wetu wa habari wanazisoma, ila haitawasaidia sana!
Yule msomi ni mchumia tumbo tu kama wengine!
 
Ukimchunguza background yake utaweza kugundua mengi juu yake, huenda hata shuleni alichakachua!
 
Nimeona katika ITV mwanachuo alisema alihama ccm kutokana na ufisadi lakini kwa kujibu gamba ccm ameamua kurudi jamaa anatia Huruma maana wenzake walikuwa na kijani na njano. Yeye hata kakofia hana je wasomi mwalionaje Hilo?

Kama ni kweli basi amelogwa. Ila pia inawezekana kukawa na mambo kadhaa kwa tukio hilo; ama ameongwa ili kuudanganya umma, ama ni msukule na mpenda ufisadi au ni juha. Kama si mwizi mtarajiwa. Naamini haijui CCM.
 
Msomi gani hata hajiamini! Alikuwa anaongea huku anatetemeka utafikiri kakaririshwa maneno!
 
Suala la ufisadi kweli lipo, lakini kama sisi wasomi ndo wa kwanza kulikimbia itakuaje jamani.........mi naona ni kupigana vita dhidi ya janga hili la ufisadi na siyo kulikwepa.
Kuikimbia CCM eti kwa sababu ya ufisadi utakuwa hujatatua tatizo kama msomi na mtu anayetegemewa na jamii bali utakuwa umeigawanya jamii inayokutegemea uinganishe.
 
..........................

Kuna watanzania wengi wanaokuwa kwenye vyama mbalimbali kama binadamu wamefanya makosa na chama hakikuhusishwa Ditopile alivyomuua dereva wa daladala kwa pisto hakuna aliyesema ditopile wa CCM ametumwana CCM au hakuna aliyesema Rafiki wa KIKWETE aliyesimamia harusi ya KIKWETE NA SALMA ameua dereva kwenye makutano ya barabara ya Kawe na Lugalo watu tulimtuhumu Ditopile kwa matumizi mabaya ya pisto kama mtu binafsi
Hata alivyowekwa nje ya rumande tofauti na watuhumiwa wote wenye kesi za mauaji hakuna aliyesema Mwenyekiti wa CCM Jakaya Kikwete amemtoa kwa vile ni rafiki yake au ni mwanaCCM sisi tulisema polisi ni vipi wamefanya upelelezi wa haraka kwa Ditopile wakati kunawatu wako ndani kwa makosa
Chenge alipotumia gari lake na kuuwa wanawake wawili halafu akakimbia hatukusema Chenge mwanachama wa CCM ameua wanawake wawili alafu akatimuka alituhumiwa kama chenge
Masha alipotishia wanachi kwa pisto hatukusema Masha mwanachama wa CCM anatumia vibaya silaha,sasa huyu diwani wa Chadema atuhumiwe kama mtanzania yeyote atakayetuhumiwa anayemiliki silaha kinyume cha utaratibu
sidhani hii kampeni kama itasaidia ,endelea tuu wanachi wanajua kupembua pumba na mchele ,eneo la Bunda ,serengeti,tarime mara ngapi silaha zimekamatwa toka kwa wananchi na zikachomwa
 
Maelezo yametulia! Kitufe cha THANKS hakipo. Nmekupa bonge la THANKS mkuu. Mwenye masikio na asikie na mwenye macho na aone.

Kile kitufe cha crap aka groan kiko wapi jamani??
He he he..huyu 'Mahesabu' nadhani ni wale wale kutoka 'wasomi' tribe, people who can't think for themselves.. Ukisoma signature yake analalama kuhusu rushwa huku akisahau kuwa rushwa na mfumo wa kickbacks umeasisiwa na kukingiwa kifua na hiyohiyo CCM inayoishabikia na kuishadadia..kinda of talking about nyoka anayeuma mkia wake mwenyewe!
 
hata JK ni msomi wa chuo kikuu na phd za mezani na yuko ccm..! huenda huyo aliyerudi huko nae kilaza kama wenzake walioko huko
 
Back
Top Bottom