Msomaji alitolea uvivu 'Raia Mwema'

Raia Mwema wakipata matangazo wayaweke tu kwenye gazeti lao, maana ni chanzo cha mapato. Ninachelea kusema kwamba wakati mwingine huwa najiuliza wanawezaje kuliendesha gazeti lile bila matangazo ya biashara. Kuna matangazo machache sana ambayo hayajitoshelezi kuendesha gazeti.

Kikubwa cha kuzingatia ni kuhakikisha makala zote zipo. Katika Raia Mwema linalolalamikiwa, sikuiona makala ya Joseph Mihangwa kitu ambacho kilinikwaza.
 
Hata kama chombo cha habari kinaishi kwa kutegemea matangazo lakini RAIA MWEMA wanapaswa kufahamu kwamba toleo lao la wiki hii wamewahujumu wasomaji wao kwa hali ya juu. Walichofanya ni kitendo cha kihunina kisanii.

Wanapaswa kuwaomba radhi wasomaji wao...kama wenyewe wanavyosema "muungwana ni vitendo" basi waonyesho uungwana kwa hili suala. Vinginevyo wananchi tutaamini nao wakipata "vijisenti" wanawageuka wananchi.
 
Good Critique!
Either Raia Mwema wataweka hiyo barua au la nina uhakika ujumbe umewafikia na kuwachoma penyewe!
 
Hata kama amewasilisha hoja yake vibaya lakini ameeleweka. Gazeti la Raia mwema toleo jana kweli liliboa! karibu asilimia 85 ya gazeti ni majina ya walimua wanaotegemea kulipwa fedha zao.Na inavyoonesha ni tangazo litakalokuwa na mwendelezo! Baada yakufungiwa mwanahalisi wengi waliegemea zaidi kwa Raia mwema. Sasa raia mwema wanapochapisha matangazo kama haya ilibidi kwenye front page waoneshe kama ndani kutakuwa na tangazo hilo ili mtu ufahamu unanunua nini.Binafsi nilikuwa disappointed lakini ndo uhuru wa vyombo vya habari huo!
 
Raia Mwema wakipata matangazo wayaweke tu kwenye gazeti lao, maana ni chanzo cha mapato. Ninachelea kusema kwamba wakati mwingine huwa najiuliza wanawezaje kuliendesha gazeti lile bila matangazo ya biashara. Kuna matangazo machache sana ambayo hayajitoshelezi kuendesha gazeti.

Kikubwa cha kuzingatia ni kuhakikisha makala zote zipo. Katika Raia Mwema linalolalamikiwa, sikuiona makala ya Joseph Mihangwa kitu ambacho kilinikwaza.

Kama ulilisoma kwa makini makala nyingi tuu hazikuwepo!
 
Mimi ni mmoja wapo niliyeudhika. kwenye ukurasa wa mbele wameandika nifungue ukurasa wa 39 ili kusoma makala inayomhusu mkuu wa takukuru nheshimiwa sana Dr Hosea na kauli zake tata juu ya EPA. Nikataka kufahamu amesema nini tena maana huyu kila wakati anatoa mpya! nimefungua na kukuta makala tofauti kabisa na hiyo iliyosemwa sikuiona ingawa pia iliyokuwepo ya Majid haikuwa mbaya.
Ni kweli biashara ya magazeti inataka matangazo lakini naamini katika hili hawakututendea
haki na naamini watatuomba radhi kwa vile 'Muungwana ni Vitendo'!
 
Upo sawa mkuu hata mimi niliudhika sana.huu ubabaishaji sijui utaisha lini.
halafu toleo lijalo utasikia samahani ndugu msomaji kwa makosa yaliyojitokeza yaliyokuwa nje ya uwezo wetu!
 
Wewe uliyandika ujumbe huu hauna maana hata blogu yako sitembelei -- kama kutangaza blogu ni kwa hoja kama hizi na lugha hizi basi wabongo tuna safari ndefu za mafanikio nina uhakika wewe utakuwa ni mhitimu wa mlimani

Wewe ni MHITIMU wa wapi?
 
'Rais wangu' MMKijiji, hoja ipo! Jamaa hakusononeka peke yake, huko na sisi wa jikoni tulisononeka kuona gazeti limejaa orodha ya majina ya walimu. Hivi kwenye magazeti si huwa kuna supplements? Bora wangelituwekea kurasa zetu za kawaida halafu wakaweka supplement ya orodha ile.
 
Walimu walinunua sana makala ile! tena wengine bado wanatumiana kopi hadi leo!!!!

nadhani jibu linapatikinana kwa msemo wa kiswahili "UKISEMA CHA NINI WENZIO WASEMA WATAKIPATA LINI"

Yawezekana hao walalamishi hawakuona mantiki ya Raia Mwema kujaza matangazo ktk toleo lao ila wengi tu wamefurahia!!!!
 
heh jamani,tumeanza kupashanaa tena humu!! mbomoe mwenzako kwa hoja, kumtambulisha ID nikurahisisha kazi za mafisadi...
 
Mimi pia nilikwazika kidogo. Nanunua gazeti hilo kila wiki. Kuna waandishi na makala zinazonivutia. Hali ilikuwa tofauti kwa kiasi fulani katika gazeti la wiki iliyopita.

NB: Wangeonyesha kwamba wameongeza kitu zaidi badala ya kufanya replacement.
 
'Rais wangu' MMKijiji, hoja ipo! Jamaa hakusononeka peke yake, huko na sisi wa jikoni tulisononeka kuona gazeti limejaa orodha ya majina ya walimu. Hivi kwenye magazeti si huwa kuna supplements? Bora wangelituwekea kurasa zetu za kawaida halafu wakaweka supplement ya orodha ile.

Wangeweza kuweka makala maalumu, wakazuga kwa 'toleao maaulum,haliuzwi!'
 
.....
Mmesikia kuwa serikali imetoa notice kwa wizara kutopeleka matangazo yake kwa vyombo vya habari vya Mengi? Lengo ni kuua vyombo hivi na kumfanya Mengi aache kusimamia habari za ufisadi. Tanzania mtangazi mkuu ni Serikali - wanaJF tujue hilo.

Zitto...Kwani Yeye Mengi amekuwaje akipata hizo tender za kutangaza matangazo ya serikali?
Magazeti Mangapi hayapati hizo tender? na umefuatilia au ya Mengi ndio concern yako...?

Kama umekuwa ktk biashara ya magazeti...kupata hayo matangazo pia ni Rushwa tupu...!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom