Msiwape watoto wenu vyakula vyenye ladha mbaya...LOL!

Bubu mbona unanichanganya lakini, Tittle imeniita lakini ndani sioni kitu mzee....... Imekuwaje tena. Au unamaana tusiwape sahani tupu?
 
Bubu mbona unanichanganya lakini, Tittle imeniita lakini ndani sioni kitu mzee....... Imekuwaje tena. Au unamaana tusiwape sahani tupu?

Mhhh! Mimi sioni tatizo naiona hiyo link ya utube na picha ya huyo mtoto aliyeboreka na chakula chenye taste mbaya.
 
Back
Top Bottom