Msitupumzikie, eboh?

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Kuna mijitu inatokea lile jukwaa la stress, inakuja humu inajifanya inasoshalaizi, limtu lenyewe likiwa kule linachefua, afu huku linajifanya linajichetuua, na kujidai lina upendo sana na sisi. Hebu mtuondokee huko...
 
mwambie akutue mweh!
 
mweeeh!! pole!! tena ngoja nili PM liondoke!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom