Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 26,054
- 33,906
Kweli una akili ndogo sana, yaani hapo umeona Richmond tu.Oooh unazungumzia RICHMOND siyo!
Master mind wake alishatimuliwa
Kweli una akili ndogo sana, yaani hapo umeona Richmond tu.Oooh unazungumzia RICHMOND siyo!
Master mind wake alishatimuliwa
Unadhani Magufuli alipita hivi hivi bila Ilani?Ccm ina ilani!
...Ndiyo. Ni serikali ya Magufuli. Yeye aliweka mabango yaliyo saidia achaguliwe. CHAGUA MAGUFULI. Magufuli for Change.. Serikali yangu hai... Ita.... nk. nk.Tutampimaje kwakutumia ilani ya CCM wakati serikali iliyopo ni ya jpm?
...Machozi ya Mamba hayawezi kamwe kuwa Maziwa ya Mwana Mbuzi..hiyo hiyo tunampimia alisema hakuna atakayekosa mkopo je ni kweli hakuna waliokosa mikopo.Vipi dawa mahospitalini.